Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Kwa ule ushamba Biteko lazima ni msukuma na kama sio msukuma mi nataka awe msukuma tu ndo najisikia vizuri....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Kwa ule ushamba Biteko lazima ni msukuma na kama sio msukuma mi nataka awe msukuma tu ndo najisikia vizuri....
Anao....Dotto nwenyewe mbona hana ushawishi wowote ?
Biteko na Mnyeti wana undugu na Jiwe , hiyo ndio sifa ya kuteuliwa kwao , lengo ni kudanganya kanda yaoAnao....
Kichwa hicho zaidi ya boss wako Mbowe.....
Wapi ushahidi?Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.
Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!
Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.
Yanayotolewa kwa "uneducated fools from uneducated schools".Ndio masomo gani hayo!
Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakatiRais samia ni dhaifu mno,urais hauwezi.Hatoshi
sasa biteko na wasukuma?Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.
Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!
Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.
Ni ukabila na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za umma!Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.
Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!
Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.
Inaonekana we ulifauru haya!Yanayotolewa kwa "uneducated fools from uneducated schools".
Uchumi wetu ni kura nyingi.Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na Mashaka mengi na 2. Kutengwa na kuonekana hawana Umuhimu Serikalini huku Wengine wakiondolewa katika Nafasi / Nyadhifa zao illilazimika Akili Kubwa kutumika ili kuwarejesha katika Mstari.
Hivyo basi Kuteuliwa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu ni kwa Kimkakati zaidi ili amrahisishie Kazi Mama ( Mheshimiwa Rais Samia ) Kuaminika, Kukubalika na kupata Kura nyingi kutoka Kanda ya Ziwa yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa na Makabila yenye Maamuzi na Ushawishi wa Kisiasa kwa Tanzania.
Kampeni za 2025 zikianza tu Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko atatumiza kama Lifti Kuu ya Kumbeba Rais Samia ambaye no doubt kuwa atagombea Urais wa Kupigiwa Kura Yeye kama Yeye tofauti na ilivyo sasa ambapo GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kusema kuwa Yeye ni Rais Deiwaka tu akiwa amechukua nchi baada ya aliyekuwa Boss wake John Pombe Magufuli kututoka duniani / Kufariki mwaka 2021.
Kanda ya Ziwa yote mpaka Mikoa ya Jirani watakuwa Wanaambiwa Nichagueni Mimi nifanye Kazi na Mtoto wenu Dk. Dotto Biteko Jambo ambalo kwa Sayansi ya Siasa na kwa Mazingira yatakayokuweko pamoja na Ushawishi wa Kiproganda itamsaidia sana Mama na CCM yake Kuzoa Kura nyingi Kanda ya Ziwa na Mikoa Jirani.
Kwa kumalizia tu GENTAMYCINE naomba nichukue nafasi hii adhimu ( in advance ) kabisa Kumpongeza Dk. Dotto Biteko kwa kwenda kuwa Waziri Mkuu Kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania November, 2025 huku nikimuomba awe makini ( tena kupita Maelezo ) ili yale ya Marehemu Deo Filikunjombe yasije Kumtokea na akawa Historia.
Sioni ushawishi wa maana wa Dotto,labda hiyo kanda ya ziwa huifahamu vizuri.Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na Mashaka mengi na 2. Kutengwa na kuonekana hawana Umuhimu Serikalini huku Wengine wakiondolewa katika Nafasi / Nyadhifa zao illilazimika Akili Kubwa kutumika ili kuwarejesha katika Mstari.
Hivyo basi Kuteuliwa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu ni kwa Kimkakati zaidi ili amrahisishie Kazi Mama (Mheshimiwa Rais Samia) Kuaminika, Kukubalika na kupata Kura nyingi kutoka Kanda ya Ziwa yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa na Makabila yenye Maamuzi na Ushawishi wa Kisiasa kwa Tanzania.
Kampeni za 2025 zikianza tu Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko atatumiza kama Lifti Kuu ya Kumbeba Rais Samia ambaye no doubt kuwa atagombea Urais wa Kupigiwa Kura Yeye kama Yeye tofauti na ilivyo sasa ambapo GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kusema kuwa Yeye ni Rais Deiwaka tu akiwa amechukua nchi baada ya aliyekuwa Boss wake John Pombe Magufuli kututoka duniani / Kufariki mwaka 2021.
Kanda ya Ziwa yote mpaka Mikoa ya Jirani watakuwa Wanaambiwa Nichagueni Mimi nifanye Kazi na Mtoto wenu Dk. Dotto Biteko Jambo ambalo kwa Sayansi ya Siasa na kwa Mazingira yatakayokuweko pamoja na Ushawishi wa Kiproganda itamsaidia sana Mama na CCM yake Kuzoa Kura nyingi Kanda ya Ziwa na Mikoa Jirani.
Kwa kumalizia tu GENTAMYCINE naomba nichukue nafasi hii adhimu (in advance) kabisa Kumpongeza Dk. Dotto Biteko kwa kwenda kuwa Waziri Mkuu Kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania November, 2025 huku nikimuomba awe makini (tena kupita Maelezo) ili yale ya Marehemu Deo Filikunjombe yasije Kumtokea na akawa Historia.
Makonda ndio turufu kuu,huyo keshashindwa kufanikisha azma ya RaisKanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na Mashaka mengi na 2. Kutengwa na kuonekana hawana Umuhimu Serikalini huku Wengine wakiondolewa katika Nafasi / Nyadhifa zao illilazimika Akili Kubwa kutumika ili kuwarejesha katika Mstari.
Hivyo basi Kuteuliwa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu ni kwa Kimkakati zaidi ili amrahisishie Kazi Mama (Mheshimiwa Rais Samia) Kuaminika, Kukubalika na kupata Kura nyingi kutoka Kanda ya Ziwa yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa na Makabila yenye Maamuzi na Ushawishi wa Kisiasa kwa Tanzania.
Kampeni za 2025 zikianza tu Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko atatumiza kama Lifti Kuu ya Kumbeba Rais Samia ambaye no doubt kuwa atagombea Urais wa Kupigiwa Kura Yeye kama Yeye tofauti na ilivyo sasa ambapo GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kusema kuwa Yeye ni Rais Deiwaka tu akiwa amechukua nchi baada ya aliyekuwa Boss wake John Pombe Magufuli kututoka duniani / Kufariki mwaka 2021.
Kanda ya Ziwa yote mpaka Mikoa ya Jirani watakuwa Wanaambiwa Nichagueni Mimi nifanye Kazi na Mtoto wenu Dk. Dotto Biteko Jambo ambalo kwa Sayansi ya Siasa na kwa Mazingira yatakayokuweko pamoja na Ushawishi wa Kiproganda itamsaidia sana Mama na CCM yake Kuzoa Kura nyingi Kanda ya Ziwa na Mikoa Jirani.
Kwa kumalizia tu GENTAMYCINE naomba nichukue nafasi hii adhimu (in advance) kabisa Kumpongeza Dk. Dotto Biteko kwa kwenda kuwa Waziri Mkuu Kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania November, 2025 huku nikimuomba awe makini (tena kupita Maelezo) ili yale ya Marehemu Deo Filikunjombe yasije Kumtokea na akawa Historia.
Wasukuma wanamwita Biteko mtusi si MSUKUMA! HakubalikiYani huyo Biteko anaushawishi gani huko kwenye hizo kura?
Sura ya kimasai, mwalimu hana ushawishi kanda ya ziwa. Kwa lipi. Jimbo lake tu la Bukombe akiachwa bila msaada hatoboi.Wasukuma wanamwita Biteko mtusi si MSUKUMA! Hakubaliki
Mama kuwa makini na watu wenye mawazo ya kikanda.ni hatari sana kwa umoja WA taifa.sikupangii ila kuwa nao Makini sana NI ndumi la kuwili hao.Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.