Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Na wote wataingia kingi kumbe ni kwa faida ya mtu binafsi.
 
Rais Magufuri wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji...

We jamaa. Naona hushakuwa mtabili na mbashiri kupita level ya Shehe Hussein. Kwa iyo Biteko ni msukuma alvyokwambia na ndo anawarudisha kundini wafuasi wa Marehemu?

Yaani wasukuma wote hawana akili ya kuchanganua kujua Magu alikuwa nani, Biteko ni nani na Samia ni nani?
 
Rais Magufuri wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji...
BIteko ni kama Magufuli, sio msukuma asilia bali ni Mnyarwanda
 
Rais Magufuri wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.

Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!

Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.

Kwamba hao siku ni watoto wabebishwe?
 
Nani kwanza anayemjua Biteko huko Kanda ya Ziwa?

Tunashukuru umeme sasa hali imeanza kuimarika taratibu hayo mengine ni porojo tu!
 
Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.

Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!

Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.
Rais samia ni dhaifu mno,urais hauwezi.Hatoshi
 
Baba wa taifa hayati mwenye heri El Commandante JKN alikufa akituasa dhidi ya maadui 3:-

UJINGA

Nitamzungumzia adui huyu tu....

Raia ana dhima ya KULIPENDA TAIFA LAKE pamoja na TUNU ZAKE...

Ni wajibu wetu raia kujibidiisha KUSOMA....KUSIKILIZA WASOMI...KUTAFUTA HABARI ZA KISOMI....

Kisomo gani ?!!!

Kisomo cha kuitambua thamani kuu ya URAIA wake yakiwemo :-

✓Kuitambua serikali halali ,kwa kuipenda na kuitii.

Mh.Samia Suluhu Hassan ndiye RAIS wetu wa serikali halali ya JMT ,haihitaji hao baadhi ya wakazi wa kanda ya Ziwa kukumbushwa hayo.

✓Kuwaheshimu wateule wa Rais hata kama hawatoki miji yao.

It is high time now kwa vijana wenzangu akina komredi Patrobass Paschal Katambi na wengineo KUBUNI njia nyepesi za KUWASHAJIISHA ELIMU YA URAIA watu wao.

HITIMISHO:

Mh.Dotto Biteko ni Naibu Waziri Mkuu wa JMT akiteuliwa kwa sifa stahiki na kwa malengo ya kutuhudumia watanzania wenzake.

Mathalani leo hii ametukumbusha kuwa mikoa miwili (Dar na Pwani) inatumia jumla ya megawati 732 ,Dar es salaam ikitumia megawati 500 za gridi ya taifa kwa hiyo tuwe na hadi novemba/Desemba na uzalishaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere wa megawati 2215 kupoozwa pale Chalinze kabla ya kuutumia hadi huko KANDA YA ZIWA [emoji120]

#Siempre JMT [emoji120]
#Mama Anaupiga Mwingi [emoji2956][emoji7][emoji2956]
 
BIteko ni kama Magufuli, sio msukuma asilia bali ni Mnyarwanda
Ubaguzi huo.....

Baada ya kushushwa ile bendera ya UNION JACK ....baba wa taifa akatuasa kuwa wote ni WATANGANYIKA....

TATIZO letu vijana hatupendi kusoma vitabu vyake[emoji26]

Tukitafute "TUJISAHIHISHE"....

#Say No To Racism[emoji120]
#Say No To Bigotry [emoji120]
#Say No To Misogyny [emoji120]
 
Juzi nimepanda bus kutoka kahama kuelekea geita nikakuta mjadala wa baadhi ya abiria wakisema jamaa sio kabila Lao na hyo ni danganya toto ya mama kumuweka jamaa ili kuridhisha hii kanda.
Wabaguzi wakubwa.....
 
Tangu lini wasukuma wameanza kufanana na raia wa PK?
Ubaguzi....

Tanganyika ,Urundi-Rwanda-Koloni la mjerumani.

Tunaangaliana kwa PUA ? !!

Binafsi ni mchanganyiko wa makabila kadhaa...

1)Baba Mnyakyusa-Mhehe
2)Mama Msukuma-Mnyamwezi-Mtutsi-Mdoe

Haya kwetu ni KONGO?[emoji44]
Kwetu ni Rwanda- Urundi?![emoji44]
Kwetu ni Malawi ?!![emoji44]

Upumbavu [emoji1787][emoji1787]
 
Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.

Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!

Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.
Unapenda sana kujidanganya na kujifariji.

Tufanye katafuteni mbadala kaburini basi
 
Mathalani leo hii ametukumbusha kuwa mikoa miwili (Dar na Pwani) inatumia jumla ya megawati 732 ,Dar es salaam ikitumia megawati 500 za gridi ya taifa kwa hiyo tuwe na hadi novemba/Desemba na uzalishaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere wa megawati 2215 kupoozwa pale Chalinze kabla ya kuutumia hadi huko KANDA YA ZIWA
emoji120.png

#Siempre JMT
Aliyeokota point yoyote hapa anisaidie wajameni.
 
Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.

Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!

Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.
Kwani kuna siku Wasukuma walikuwa siyo wamoja?
Magufuli aliwaunganishaje wakati yeye mwenyewe kazaliwa kawakuta wakiwa wamoja!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom