GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbumbumbu mlikuwa mmekaribia kuokota makopo barabarani au kunywa sumu mufwe kabisa, maana mnafungua nyuzi kila sekunde kulazimisha furaha ilihali mnayoyapitia hata Ihefu ina nafuu mwaka huu 2023 [emoji38]Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma ( alias Mwana FA ) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.
Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
Anaitwa Hamis na sio Rashid,kenge mkubwa weweKifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.
Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Jua kutofautisha kati ya mwana FA na Naibu waziri wa michezo pale alikuwa kama naibu waziri wa michezo akiiwakilisha serikali katika kuisapport yangaKifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.
Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Tena mwarabu wa palestina,,, lazima sasa aombe kolabo kwa blaza Irani akamfumue netapusi pale yerusalemuMwarabu apakae Mafuta halafu akuache?
Imepenya hiyo [emoji382] tena kwenye mfupa ikikuuma sana ichomoe [emoji4]Mwarabu apakae Mafuta halafu akuache?
Kikwete pamoja na uwaziri na urais wake hadi Sasa ,hajawahi Vaa jezi ya Simba popote paleHapana mkuu.
Mwana FA ni KIONGOZI anawaongoza watu wote pasi na kuwabagua.
Nimefurahi sana kumuona Rage na Mwana FA wanatuwakilisha.
Hii ndio FAIR PLAY.
ULIKUWA MCHEZO WA KIMATAIFA TULIPASWA KUWA NA UZALENDO
Hata watutukane.
Wakapokee wageni.
BADO SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU KUBWA ZAIDI
Basi mfukuzeni Uanachama kama mnaona kaharibu acha umasikini wa akili hiii ni michezo tu sio vita hiiHayati Magufuli ( aliyekuwa Rais wako ) alikuwa ni mwana Simba SC je, Siku zote alizohudhuria Mechi za ama Simba SC au Taifa Stars kwa Mkapa ulimuona akivalia Jezi ya Simba SC kana alivyofanya leo Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma ( alias Mwana FA ) Uwanja wa Mkapa?
Huna Akili.
Kama nyie wenzetu mliokwisho Lowaa Kitambo kumbe mlipitia maumivu hivii mlipo lowaaaYangaaaaaaaa wamelowaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmekandwaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nyie wenzetu mliokwisho Lowaa Kitambo kumbe mlipitia maumivu hivii mlipo lowaaa
Sema Tumekandwaa kaka bora sisi tuna cha kujifarijiiMmekandwaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemuua Simba acha malaana yawafateHayati Magufuli ( aliyekuwa Rais wako ) alikuwa ni mwana Simba SC je, Siku zote alizohudhuria Mechi za ama Simba SC au Taifa Stars kwa Mkapa ulimuona akivalia Jezi ya Simba SC kana alivyofanya leo Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma ( alias Mwana FA ) Uwanja wa Mkapa?
Huna Akili.
Hao ndio wachawi wenu kama hamjui. Hujamuona Mwana FA na Salama Jabir wakifurahi baada ya mechi?Hapana mkuu.
Mwana FA ni KIONGOZI anawaongoza watu wote pasi na kuwabagua.
Nimefurahi sana kumuona Rage na Mwana FA wanatuwakilisha.
Hii ndio FAIR PLAY.
ULIKUWA MCHEZO WA KIMATAIFA TULIPASWA KUWA NA UZALENDO
Hata watutukane.
Wakapokee wageni.
BADO SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU KUBWA ZAIDI
Mna hakika akili zake ziko sawa?Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.
Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Hayuko sawqHuyu jamaa
Mna hakika akili zake ziko sawa?