Naibu Waziri Mwana FA, Aden Rage na GENTAMYCINE tumechukizwa na Simba SC ila kamwe hatuwezi kuvaa jezi ya Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.

Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.

Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
 
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma ( alias Mwana FA ) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.

Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.

Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
Mbumbumbu mlikuwa mmekaribia kuokota makopo barabarani au kunywa sumu mufwe kabisa, maana mnafungua nyuzi kila sekunde kulazimisha furaha ilihali mnayoyapitia hata Ihefu ina nafuu mwaka huu 2023 [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hapana mkuu.

Mwana FA ni KIONGOZI anawaongoza watu wote pasi na kuwabagua.

Nimefurahi sana kumuona Rage na Mwana FA wanatuwakilisha.

Hii ndio FAIR PLAY.
ULIKUWA MCHEZO WA KIMATAIFA TULIPASWA KUWA NA UZALENDO

Hata watutukane.
Wakapokee wageni.

BADO SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU KUBWA ZAIDI
 
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.

Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.

Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Anaitwa Hamis na sio Rashid,kenge mkubwa wewe
 
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.

Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.

Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Jua kutofautisha kati ya mwana FA na Naibu waziri wa michezo pale alikuwa kama naibu waziri wa michezo akiiwakilisha serikali katika kuisapport yanga
 
Yangaaaaaaaa wamelowaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana mkuu.

Mwana FA ni KIONGOZI anawaongoza watu wote pasi na kuwabagua.

Nimefurahi sana kumuona Rage na Mwana FA wanatuwakilisha.

Hii ndio FAIR PLAY.
ULIKUWA MCHEZO WA KIMATAIFA TULIPASWA KUWA NA UZALENDO

Hata watutukane.
Wakapokee wageni.

BADO SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU KUBWA ZAIDI
Kikwete pamoja na uwaziri na urais wake hadi Sasa ,hajawahi Vaa jezi ya Simba popote pale
 
Hayati Magufuli ( aliyekuwa Rais wako ) alikuwa ni mwana Simba SC je, Siku zote alizohudhuria Mechi za ama Simba SC au Taifa Stars kwa Mkapa ulimuona akivalia Jezi ya Simba SC kana alivyofanya leo Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma ( alias Mwana FA ) Uwanja wa Mkapa?

Huna Akili.
Basi mfukuzeni Uanachama kama mnaona kaharibu acha umasikini wa akili hiii ni michezo tu sio vita hii
 
Yangaaaaaaaa wamelowaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nyie wenzetu mliokwisho Lowaa Kitambo kumbe mlipitia maumivu hivii mlipo lowaaa
 
Mwana FA hajiamini tu . Hao jamaa hawana shukrani hata kidogo. GSM mwenyewe hakuvaa njano iweje yeye avae?
 
Hayati Magufuli ( aliyekuwa Rais wako ) alikuwa ni mwana Simba SC je, Siku zote alizohudhuria Mechi za ama Simba SC au Taifa Stars kwa Mkapa ulimuona akivalia Jezi ya Simba SC kana alivyofanya leo Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma ( alias Mwana FA ) Uwanja wa Mkapa?

Huna Akili.
Wamemuua Simba acha malaana yawafate
 
Hapana mkuu.

Mwana FA ni KIONGOZI anawaongoza watu wote pasi na kuwabagua.

Nimefurahi sana kumuona Rage na Mwana FA wanatuwakilisha.

Hii ndio FAIR PLAY.
ULIKUWA MCHEZO WA KIMATAIFA TULIPASWA KUWA NA UZALENDO

Hata watutukane.
Wakapokee wageni.

BADO SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU KUBWA ZAIDI
Hao ndio wachawi wenu kama hamjui. Hujamuona Mwana FA na Salama Jabir wakifurahi baada ya mechi?
 
Huyu jamaa
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.

Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.

Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Mna hakika akili zake ziko sawa?
 
Back
Top Bottom