DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ingekua mbele sahvi mbunge hana ubunge wala unaibu wowote na kesi ipo inafuatiliwa kiundani sio kiCCM.
 
Mbunge wa Babati mjini ana matatizo sana alipopata ubunge akaachana na mme wake
Aiseeh kumbe alimwaga Slaa wa Farm Africa....jamaa alikuwa kama mtumwa kitu inajirusha huko ...wewe una lala kwenye gari ....jamaa aliteswa sana Kisaikolojia
 
Kitendo cha kutumia polisi kukamata mwandishi habari aliyekuja kumhoji ilipaswa aondolewe katika hicho cheo.
 
Ukiwa Ccm Ni Untouchable Kama Huamini Hili Litaisha Kama La Dkt F Dugange Tu
Wanaoneaga wajinga tu mm mmoja alinipiga na chupa baa nkamshitaki akaniletea ujinga wa kutetewa nliwambia polisi duniani kuna mahakama zingine.nlipiga mke wake nkamtumia picha akapata stroke cha ajabu mke hakuacha .
 
Very serious accusations!

Uchunguzi ufanyike. Haki itendeke pande zote.

-Kaveli-
 
CCM imfukuze ubunge haraka sana Pauline Gekul, huyu ni muuaji, jambazi mkubwa, kisha serikali na haki za binadamu wampeleke mahakamani haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…