DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Samehe bro na maisha yaendelee. Sisi wanadamu tu dhaigu kaka. Usiweke visas kwa wanadamu wenzetu bro. Kwa niaba yao, nawaombea msamaha bro.
 
Duh ,mbunge na waziri wa Tanzania tena wa kike,una mnajisi mtoto na chupa,
Kweli chupa kweli dah mm naona huyu ashitakiwe sawa na wauaji na watu wabakaji 😠😠😠
 

Tuletee ushahidi tu hayo mengine baki nayo! Tuambie umesikia wapi na kwa uthibitisho upi mambo yatakuwa hadharani!
 
Ndiyo viongozi wenu
Halafu ni mama ana watoto huyo
Daaah Mungu simama uone viumbe wako

Hutasikia yule waziri wa watoto na jinsia akitoa saut yake hata kidogo anakausha kama sio yeye

Ila raia wengine anapayuka balaaa

Asifikiri Mungu amuoni atakavyofanya upendeleo



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Angalia kabla ya wao kuingia anga zako usije ukaingia zao.
 
Tuhuma za wanasiasa wakati mwingine zinakuwa na malengo ya kisiasa tu.

Tulihabarishwa Kigwangala naye kampiga risasi mlinzi wake huko Kwimba or Ngudu.
 
Ili iweje na ikufaidi nini mwanadamu mwenye pumzi ambaye Mungu akiamua kiburi chako kwisha unakwenda mavumbini?
 
Huyo kijana amepikwa aseme hivyo ...... unajua kuna njia nyingi sana za kudeal na wabunge na hii nayo ni mojawapo ya kumuharibia mtu ukizingatia uchaguzi mkuu unakuja mwaka mmoja baadae
Wewe ndo Madam mwenyewe nini kwanini,tusingojee wahusika wachukue hatua za kiuchunguzi na kutupatia majibu ili tumuhukumu kijana au huyo Madam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…