blastus mwakimonya
Member
- Dec 11, 2015
- 62
- 127
😭😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uambiwe wanataka kumchafua kisiasaAisee! Hizo ni tuhuma zisizothibitishwa!
Samehe bro na maisha yaendelee. Sisi wanadamu tu dhaigu kaka. Usiweke visas kwa wanadamu wenzetu bro. Kwa niaba yao, nawaombea msamaha bro.Mara nyingi watu wanaofanyiwa unyama wa aina hii unakuta anampanda mtu kichwani kwa kumletea mambo ya ovyo. Hasira zake ndio anamrudishia kwa kutuma watu wafanye unyama wa aina hiyo.
Binafsi I am capable of doing worst if opportunities arises kwa watu kama watatu tu hivi; ipo siku wataingia anga zangu.
Huyo kijana amepikwa aseme hivyo ...... unajua kuna njia nyingi sana za kudeal na wabunge na hii nayo ni mojawapo ya kumuharibia mtu ukizingatia uchaguzi mkuu unakuja mwaka mmoja baadaeSawa sawa,mb atakuja na atasema
Wanataka kumchafua kisiasa tu
Maisha yataendelea
Ova
Wewe ndio mataqo. Makosa yapi yanayompa mtu haki ya kutesa bila/kabla ya kupeleka polisi/mahakamani. JF haijakusaidia kutoa ujingaNa ww umeingia mkenge bila ya hata kusikiliza upande wa pili!!??
nikikuita na ww ni ...... nitakuwa nimekosea!!??
Huu ukatili uliofanywa na Mbunge wa Babati Paulina Gekuli haupaswi kufumbiwa macho hata kidogo, @tanpol wajibu wenu ni upi? Kwanini mnalea udhalilishaji huu mkubwa mpaka sasa waliofanya hivi vitendo wapo uraiani?
View attachment 2823504
Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini, anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu waziri sheria na katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa.
Hashimu Ally anasema, Pauline Gekul alitoa bastola, akamueleza achague kukalia chupa mwenyewe au apigwe risasi na mwili wake wakautupe katika Ziwa Babati. Akagoma, wakampiga sana, wakamuingizia chupa sehemu ya haja kubwa. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu sana. Unyama.
Hashimu Ally anasema alituhumiwa na boso wake (Pauline Gekul) kutumwa kuweka sumu ili kumuua Pauline Gekul, tuhuma ambazo hazijathibitishwa popote hata na jeshi la polisi. Akasulubiwa sana kisha kukabidhiwa polisi Babati na kumpiga kila siku asubuhi na jioni, kwa siku nne.
Hashimu Ally alikana tuhuma zote hizo akiwa kituo cha polisi Babati Mjini na hata chini ya mikono ya mateso ya Pauline Gekul. Baada ya kupigwa kwa siku nne mfululizo akiwa polisi Babati, alidhaminiwa na baba yake mzazi. Lakini leo ameitwa ofisi za Manyara ili kutoa maelezo. Tunafuatilia.
Ujambazi huu unafanywa na Pauline Gekul ambaye hadi sasa ni naibu waziri wa Sheria na Katiba. Wizara ambayo inapaswa kuongoza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu, utawala bora wa sheria. Pauline Gekul umepata wapi uhalali wa kupiga watu kwa tuhuma za kipuuzi?
Serikali ya CCM imechukua majambazi na kuwapa madaraka makubwa namna hii? Ni wizara hii ilisema kwamba watanzania wanatakiwa kupewa elimu ya katiba kwa miaka mitatu? Kimsingi Pauline Gekul hatakiwi kuwa Naibu Waziri wa masuala ya sheria na katiba.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, tunataka kuona haki ikitendeka. Waliotenda jinai wote kuanzia walinzi wa Pauline Gekul, wafanyakazi wa Paleii Lake View Garden na polisi waliompiga Hashimu wachukuliwe hatua za kisheria. JAMBAZI PAULINE ASHTAKIWE.
Tunauatilia na tutaujulisha umma kila hatua. Hatuwezi kuishi nchi ambayo naibu waziri anaweza kuamua kutunga tuhuma, kutoa adhabu za kikatili na tena kuwakabidhi polisi waendeleze unyanyasaji. Hatuwezi kuruhusu Taifa letu pendwa likawa na MAJAMBAZI ofisi za umma
MMM, Martin Maranja Masese
Naunga mkono hoja 👍👏Aisee. Nchi na mabunge yenye akili huyu alipaswa kuondolewa ubunge na kushtakiwa
Angalia kabla ya wao kuingia anga zako usije ukaingia zao.Mara nyingi watu wanaofanyiwa unyama wa aina hii unakuta anampanda mtu kichwani kwa kumletea mambo ya ovyo. Hasira zake ndio anamrudishia kwa kutuma watu wafanye unyama wa aina hiyo.
Binafsi I am capable of doing worst if opportunities arises kwa watu kama watatu tu hivi; ipo siku wataingia anga zangu.
Ili iweje na ikufaidi nini mwanadamu mwenye pumzi ambaye Mungu akiamua kiburi chako kwisha unakwenda mavumbini?Mara nyingi watu wanaofanyiwa unyama wa aina hii unakuta anampanda mtu kichwani kwa kumletea mambo ya ovyo. Hasira zake ndio anamrudishia kwa kutuma watu wafanye unyama wa aina hiyo.
Binafsi I am capable of doing worst if opportunities arises kwa watu kama watatu tu hivi; ipo siku wataingia anga zangu.
Nchi ukishakuwa kwenye nafasi lolote unaweza fanya hata kuua soo piaTuhuma za wanasiasa wakati mwingine zinakuwa na malengo ya kisiasa tu.
Tulihabarishwa Kigwangala naye kampiga risasi mlinzi wake huko Kwimba or Ngudu.
Subirieni utetezi wake nayeHuyu mbunge asipochukuliwa hatua tutakuwa na serikali ya hovyo sana inafaaa na yeye ikiwezekana aingizwe chupa
Wewe ndo Madam mwenyewe nini kwanini,tusingojee wahusika wachukue hatua za kiuchunguzi na kutupatia majibu ili tumuhukumu kijana au huyo Madam?Huyo kijana amepikwa aseme hivyo ...... unajua kuna njia nyingi sana za kudeal na wabunge na hii nayo ni mojawapo ya kumuharibia mtu ukizingatia uchaguzi mkuu unakuja mwaka mmoja baadae