Mihemko ingekuchochea uwe na ghadhabu ya kuonyesha na picha mtekwaji pia, kisha halafu utulivu na umahiri ungekuelekeza ufafanue ni nini hasa kimetokea?
Wewe jihudumie tu huku ni kwa Mzee wa kupambaniaNakazia Hapa
Kuna thread humu itafute Mkuu.Wekeni link tujue ameharibu wapi
Shida ni mzeeLabda kwa matumizi ya usiku tu
Mtuhumiwa anachukuliwa kama hana hatia hadi itakapodhibitika pasi na shaka. Hata wewe unaweza kutuhumiwa kwa lolte lile ambalo hukufanya, je, tukuingize chupa matkoni?Hii nchi shida sana yaani mtuhumiwa wa kudhuru kwa sumu anatetewa
Yaani mtoto aliyeingiziwa chupa uweke picha yake?Mihemko ingekuchochea uwe na ghadhabu ya kuonyesha na picha mtekwaji pia, kisha halafu utulivu na umahiri ungekuelekeza ufafanue ni nini hasa kimetokea?
Ni vita ya Israel na Hamas
imehamia bongo ama nini imefanyika
Tupe report ya Dr kuhusiana na sumu inasemaje!?Hii nchi shida sana yaani mtuhumiwa wa kudhuru kwa sumu anatetewa
Hawa ndiyo tunaotegemea watuletee maendeleoWhat an offense, akamatwe na kuhojiwa
eleza vizuri kwa utulivu, alie dhulumiwa apete haki stahiki, na alie dhulumu apate adhabu stahiki pia..Yaani mtoto aliyeingiziwa chupa uweke picha yake?
Huyo Waziri hafahamiki picha yake?
Mi ndio nimeleta habari au?eleza vizuri kwa utulivu, alie dhulumiwa apete haki stahiki, na alie dhulumu apate adhabu stahiki pia..
muhimu haki itendeke kwa wahusika.
eehe ilikuaje?
ooh samahan sana,Mi ndio nimeleta habari au?
Oyaa 🤣 🤣 🤣Wewe jihudumie tu huku ni kwa Mzee wa kupambania
Mtuhumiwa anachukuliwa kama hana hatia hadi itakapodhibitika pasi na shaka. Hata wewe unaweza kutuhumiwa kwa lolte lile ambalo hukufanya, je, tukuingize
Report ya polisi ya upelelezi uliyonayo inasemaje?Tupe report ya Dr kuhusiana na sumu inasemaje!?
Mtoa hojaooh samahan sana,
kumbe na wewe ni muombolezaji au ni shabiki?