DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu ukatili uliofanywa na Mbunge wa Babati Paulina Gekuli haupaswi kufumbiwa macho hata kidogo, @tanpol wajibu wenu ni upi? Kwanini mnalea udhalilishaji huu mkubwa mpaka sasa waliofanya hivi vitendo wapo uraiani?

View attachment 2823504
Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini, anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu waziri sheria na katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa.

Hashimu Ally anasema, Pauline Gekul alitoa bastola, akamueleza achague kukalia chupa mwenyewe au apigwe risasi na mwili wake wakautupe katika Ziwa Babati. Akagoma, wakampiga sana, wakamuingizia chupa sehemu ya haja kubwa. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu sana. Unyama.

Hashimu Ally anasema alituhumiwa na boso wake (Pauline Gekul) kutumwa kuweka sumu ili kumuua Pauline Gekul, tuhuma ambazo hazijathibitishwa popote hata na jeshi la polisi. Akasulubiwa sana kisha kukabidhiwa polisi Babati na kumpiga kila siku asubuhi na jioni, kwa siku nne.

Hashimu Ally alikana tuhuma zote hizo akiwa kituo cha polisi Babati Mjini na hata chini ya mikono ya mateso ya Pauline Gekul. Baada ya kupigwa kwa siku nne mfululizo akiwa polisi Babati, alidhaminiwa na baba yake mzazi. Lakini leo ameitwa ofisi za Manyara ili kutoa maelezo. Tunafuatilia.

Ujambazi huu unafanywa na Pauline Gekul ambaye hadi sasa ni naibu waziri wa Sheria na Katiba. Wizara ambayo inapaswa kuongoza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu, utawala bora wa sheria. Pauline Gekul umepata wapi uhalali wa kupiga watu kwa tuhuma za kipuuzi?

Serikali ya CCM imechukua majambazi na kuwapa madaraka makubwa namna hii? Ni wizara hii ilisema kwamba watanzania wanatakiwa kupewa elimu ya katiba kwa miaka mitatu? Kimsingi Pauline Gekul hatakiwi kuwa Naibu Waziri wa masuala ya sheria na katiba.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, tunataka kuona haki ikitendeka. Waliotenda jinai wote kuanzia walinzi wa Pauline Gekul, wafanyakazi wa Paleii Lake View Garden na polisi waliompiga Hashimu wachukuliwe hatua za kisheria. JAMBAZI PAULINE ASHTAKIWE.

Tunauatilia na tutaujulisha umma kila hatua. Hatuwezi kuishi nchi ambayo naibu waziri anaweza kuamua kutunga tuhuma, kutoa adhabu za kikatili na tena kuwakabidhi polisi waendeleze unyanyasaji. Hatuwezi kuruhusu Taifa letu pendwa likawa na MAJAMBAZI ofisi za umma

MMM, Martin Maranja Masese
Dkt. Gwajima D kazi kwako Mhe. Kufuatilia hii kama ni kweli au la
 
Dah!...

Pascal Mayalla wakili msomi pita hapa.
 
Daah, kwani wangefanya uchunguzi wa kina na kupata ushahidi, kisha ndio wamkamaye na kumpeleka mahakamani wangepungukiwa na nini?

Huyo Naibu waziri kama kafanya ukatili huo, na ushahidi upo, basi akamatwe na kupelekwa mbele ya mikono ya sheria
 
Unapenda sana kuwa opposite wewe
Sasa kitendo alichifanya hyo mb ni
Sawa.....
Kuwafanyia madogo kama hao kuwapiga na kuwaingiza chupa mtkoni ni unyama

Ova
On paper inaonekana sio jambo zur na inasikitisha kitendo alichofanyiwa.

Hila ujakutana na baadhi ya wajinga jinga fulani, halafu wanajiona mabingwa hao.

Yaani unaweza kutana na mtu akakuletea mambo fulani dah, halafu sasa kama wewe mpole na unaheshimu kila mtu.

Hasira zake sikia tu, yaani anakupanda kichwani for no reasons kutuliza kichwa ni kumtia adabu tu akiingia kwenye 18.
 
Binafsi huwa nashindwa kumwelewa binadamu aliyeumbwa na Mungu ambapo mwenyezi mungu Ndo anajua hatima yake.Cheo au pesa Ni kitu ambacho kinamupa upofu mwanadamu na kusahau hili nalozungumza.Mwenye hekima anatenda kwa hekima.Kimsingi binadamu Ni binadamu tu wanafanana kila kitu awe tajiri au maskini,msomi au asiyesoma wote wanatakiwa kuthaminiwa na kutendewa haki.

Kama hili Ni la kweli mbele ya mwenyezi mungu hata Kama haki ikipindishwa Basi Mwenyezi Mungu Ndo mwenye kutoa haki.Hakuna Hali inayodumu milele binadamu inabidi kutofanyiana mabaya dunia Ni ya Mungu.
 
Binafsi huwa nashindwa kumwelewa binadamu aliyeumbwa na Mungu ambapo mwenyezi mungu Ndo anajua hatima yake.Cheo au pesa Ni kitu ambacho kinamupa upofu mwanadamu na kusahau hili nalozungumza.Mwenye hekima anatenda kwa hekima.Kimsingi binadamu Ni binadamu tu wanafanana kila kitu awe tajiri au maskini,msomi au asiyesoma wote wanatakiwa kuthaminiwa na kutendewa haki.

Kama hili Ni la kweli mbele ya mwenyezi mungu hata Kama haki ikipindishwa Basi Mwenyezi Mungu Ndo mwenye kutoa haki.Hakuna Hali inayodumu milele binadamu inabidi kutofanyiana mabaya dunia Ni ya Mungu.
 
Daah, kwani wangefanya uchunguzi wa kina na kupata ushahidi, kisha ndio wamkamaye na kumpeleka mahakamani wangepungukiwa na nini?

Huyo Naibu waziri kama kafanya ukatili huo, na ushahidi upo, basi akamatwe na kupelekwa mbele ya mikono ya sheria
Si mtu kujiona Ana cheo,nguvu

Ila injinia,we subiria upande wa pili

Waje na utetezi wao watakuambia

Wanataka kunichsfua kisiasa tu [emoji1]

Ova
 
On paper inaonekana sio jambo zur na inasikitisha kitendo alichofanyiwa.

Hila ujakutana na baadhi ya wajinga jinga fulani, halafu wanajiona mabingwa hao.

Yaani unaweza kutana na mtu akakuletea mambo fulani dah, halafu sasa kama wewe mpole na unaheshimu kila mtu.

Hasira zake sikia tu, yaani anakupanda kichwani for no reasons kutuliza kichwa ni kumtia adabu tu akiingia kwenye 18.
Nishakutana na wajinga washenzi wa kila aina.....kijana mm nishapigana vita vya kila aina
Ila siwez kufika hatua ya kumfanyia mtoto unyama kwa sababu ynywe haina kichwa wala mguu kisa mtu una cheo na usng huu huku sana nchini kwa baadhi ya watu wenye vinafasi vyao

Ova
 
Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini, anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu waziri sheria na katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa.

Hashimu Ally anasema, Pauline Gekul alitoa bastola, akamueleza achague kukalia chupa mwenyewe au apigwe risasi na mwili wake wakautupe katika Ziwa Babati. Akagoma, wakampiga sana, wakamuingizia chupa sehemu ya haja kubwa. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu sana. Unyama.

Hashimu Ally anasema alituhumiwa na boso wake (Pauline Gekul) kutumwa kuweka sumu ili kumuua Pauline Gekul, tuhuma ambazo hazijathibitishwa popote hata na jeshi la polisi. Akasulubiwa sana kisha kukabidhiwa polisi Babati na kumpiga kila siku asubuhi na jioni, kwa siku nne.

Hashimu Ally alikana tuhuma zote hizo akiwa kituo cha polisi Babati Mjini na hata chini ya mikono ya mateso ya Pauline Gekul. Baada ya kupigwa kwa siku nne mfululizo akiwa polisi Babati, alidhaminiwa na baba yake mzazi. Lakini leo ameitwa ofisi za Manyara ili kutoa maelezo. Tunafuatilia.

Ujambazi huu unafanywa na Pauline Gekul ambaye hadi sasa ni naibu waziri wa Sheria na Katiba. Wizara ambayo inapaswa kuongoza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu, utawala bora wa sheria. Pauline Gekul umepata wapi uhalali wa kupiga watu kwa tuhuma za kipuuzi?

Serikali ya CCM imechukua majambazi na kuwapa madaraka makubwa namna hii? Ni wizara hii ilisema kwamba watanzania wanatakiwa kupewa elimu ya katiba kwa miaka mitatu? Kimsingi Pauline Gekul hatakiwi kuwa Naibu Waziri wa masuala ya sheria na katiba.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, tunataka kuona haki ikitendeka. Waliotenda jinai wote kuanzia walinzi wa Pauline Gekul, wafanyakazi wa Paleii Lake View Garden na polisi waliompiga Hashimu wachukuliwe hatua za kisheria. JAMBAZI PAULINE ASHTAKIWE.

Tunauatilia na tutaujulisha umma kila hatua. Hatuwezi kuishi nchi ambayo naibu waziri anaweza kuamua kutunga tuhuma, kutoa adhabu za kikatili na tena kuwakabidhi polisi waendeleze unyanyasaji. Hatuwezi kuruhusu Taifa letu pendwa likawa na MAJAMBAZI ofisi za umma

MMM, Martin Maranja Masese
 
Nishakutana na wajinga washenzi wa kila aina.....kijana mm nishapigana vita vya kila aina
Ila siwez kufika hatua ya kumfanyia mtoto unyama kwa sababu ynywe haina kichwa wala mguu kisa mtu una cheo na usng huu huku sana nchini kwa baadhi ya watu wenye vinafasi vyao

Ova
Issue sio cheo, ila kinasaidia kazi kuwa rahisi kufanyika.

Vinginevyo hata mtaani watu wanafanyiana unyama kwa mambo ya wapuuzi hawa.

Chukulia mtu kama JK alivyo mpole alikuwa anapokea matusi akiwa raisi na kudharauliwa hadharani lakini ndio kwanza; inaonekana ni mvumilivu mno.

Ila babu Seya sijui alimfanya nini, kilichompata tunajua.

Ndio maana nakwambia kuna mambo ya kishamba na dizaini ya watu fulani ujakutana nayo tu. Yaani mtu anakupanda kichwani mpaka namna pekee ya kutuliza hasira ni kumtia adabu asikusahau maisha yake yote.
 
Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini, anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu waziri sheria na katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa.

Hashimu Ally anasema, Pauline Gekul alitoa bastola, akamueleza achague kukalia chupa mwenyewe au apigwe risasi na mwili wake wakautupe katika Ziwa Babati. Akagoma, wakampiga sana, wakamuingizia chupa sehemu ya haja kubwa. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu sana. Unyama.

Hashimu Ally anasema alituhumiwa na boso wake (Pauline Gekul) kutumwa kuweka sumu ili kumuua Pauline Gekul, tuhuma ambazo hazijathibitishwa popote hata na jeshi la polisi. Akasulubiwa sana kisha kukabidhiwa polisi Babati na kumpiga kila siku asubuhi na jioni, kwa siku nne.

Hashimu Ally alikana tuhuma zote hizo akiwa kituo cha polisi Babati Mjini na hata chini ya mikono ya mateso ya Pauline Gekul. Baada ya kupigwa kwa siku nne mfululizo akiwa polisi Babati, alidhaminiwa na baba yake mzazi. Lakini leo ameitwa ofisi za Manyara ili kutoa maelezo. Tunafuatilia.

Ujambazi huu unafanywa na Pauline Gekul ambaye hadi sasa ni naibu waziri wa Sheria na Katiba. Wizara ambayo inapaswa kuongoza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu, utawala bora wa sheria. Pauline Gekul umepata wapi uhalali wa kupiga watu kwa tuhuma za kipuuzi?

Serikali ya CCM imechukua majambazi na kuwapa madaraka makubwa namna hii? Ni wizara hii ilisema kwamba watanzania wanatakiwa kupewa elimu ya katiba kwa miaka mitatu? Kimsingi Pauline Gekul hatakiwi kuwa Naibu Waziri wa masuala ya sheria na katiba.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, tunataka kuona haki ikitendeka. Waliotenda jinai wote kuanzia walinzi wa Pauline Gekul, wafanyakazi wa Paleii Lake View Garden na polisi waliompiga Hashimu wachukuliwe hatua za kisheria. JAMBAZI PAULINE ASHTAKIWE.

Tunauatilia na tutaujulisha umma kila hatua. Hatuwezi kuishi nchi ambayo naibu waziri anaweza kuamua kutunga tuhuma, kutoa adhabu za kikatili na tena kuwakabidhi polisi waendeleze unyanyasaji. Hatuwezi kuruhusu Taifa letu pendwa likawa na MAJAMBAZI ofisi za umma

MMM, Martin Maranja Masese
So sad
 
Back
Top Bottom