Kijungu Moto
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 307
- 491
Mbunge wa Babati mjini ana matatizo sana alipopata ubunge akaachana na mme wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment tena baada ya uchunguzi kukamilika!!Sio Tanzania hii imeisha hyooooooo
Vp Mwandishi nae alivyo kamatawa,hakupigwa chupa behind !!??Yeye mbona kagoma kuhojiwa na mwandishi,sana sana mwandishi aliyeenda kumhoji akaishia kukamatwa,mwishowe akaachiwa
Ova
Mbunge wa Babati mjini ana matatizo sana alipopata ubunge akaachana na mme wake
Lini mbulu akawa na heshima na ndoa Wai kukulana Ni givenMbunge wa Babati mjini ana matatizo sana alipopata ubunge akaachana na mme wake
Anatafuta namna ya kumteteaAtakuwa kashamtumia sms [emoji1]
Ova
Tafuta Kuna madaa uku ikimtuhumu jambo flan la kunyanyasaa raia wake Kwa tuhuma za kutaka kumuuaFafanua!
Nakazia HapaHuyu anafaa kwa matumizi kabisa
Chakula cha bashiru kakurwaHuyu anafaa kwa matumizi kabisa
Labda kwa matumizi ya usiku tuHuyu mama hafai hata kidogo
Maingizo ya jiwe hayo
Hii nchi shida sana yaani mtuhumiwa wa kudhuru kwa sumu anatetewaTafuta Kuna madaa uku ikimtuhumu jambo flan la kunyanyasaa raia wake Kwa tuhuma za kutaka kumuua