DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbunge wa Babati mjini ana matatizo sana alipopata ubunge akaachana na mme wake
Sipendi kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja lakini haya yote yaliyosemwa na hili ulilosema wewe, yanaendana na muonekano wa mtuhumiwa.

Katika nchi zenye misingi ya uwajibikaji kwa hizi tuhuma tu alipaswa kuwa ameshajiuzulu au kufukuzwa kabisa.
 
tutaanza tu kuheshimiana kama raia tutaanza kuwa tunalipiza kisasi kwenye haya maujinga kimtamtaa..

Hawa watu wako huku mtaani tunaishi nao, akikuzingua, mvizie unapiga ambush ambayo unamaliza kabisa uhai wake, kesho wengine watajifunza kutokuwa waonevu mtaani.
 
IMG_9698.jpeg
 
Back
Top Bottom