Naibu Waziri na Waziri Makamba wajiuzulu. Ni kwa kulidanganya Bunge kuwa mgao utaisha Desemba 2022

Umefuatilia nyuzi zake za nyuma miezi kama mitano?Yeye na Makamba utadhani kamuolea mke mwenza.
Mi sina muda wa kufuatilia nyuzi za huyo mtu. Nazungumzia hii tu. Hata kama wana ugomvi wao but katika hii mimi nasimamia hoja ya kuwa Tuna matatizo ya kuwapa nafasi watu wenye tatizo la afya ya akili.
 
Changamoto ya umeme ipo.Sahihi.Makamba alisema hadi Disemba watamaliza changamoto.Ili Disemba ionekane ni Disemba,utaanzia mwanzo,katikati au utasubiri ikamilike.Ukipata jibu,mpelekee mlalamishi aone.
 
December inaanza na 1 yaan 1/12/2022 hio ndio December sio middle or end but at the beginning of December ndio December yenyewe ndio maana ikasemwa kuanzia December means hapa mwanzo huo mtafuaruku wa makatokato ya umeme iwe ni simulizi za wakati uliosahaulika,
 
Sasa wamedanganya wapi si wakisema itapunguza makali ya mgao au? Wapi walisema mgao utakwisha?

Juzi tuu hapo Tanesco kasema mvua zinanyesha Ila hazijanyesha za kutosha Mikoa yenye mabwawa kuwezesha kuanza kuzalisha Umeme Kama awali.
 
Huna akili mbulu kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…