Naibu Waziri na Waziri Makamba wajiuzulu. Ni kwa kulidanganya Bunge kuwa mgao utaisha Desemba 2022

Unaona raha mnavyouza Generators kwa wingi Wananchi wanateseka

Mnamtengenezea Mama Uadui na wanachi na hizo sabotage zenu
Toa suluhu ya muda mfupi na mrefu uisaidie nchi yako.Kumuandama mtu bila wazo mbadala ni u-hovyohovyo tu.
 
Nipo hapa home umeme umekata.

Na hii ni Desembe 3.

Mlisemea Kinyerezi 1 itakuwa imekamilika.

Sasa mbona mmedanganya bunge?

====
Walichokisema November 2, 2022

Serikali imesema makali ya mgao wa umeme nchini yanaweza kupungua mwezi ujao wa Novemba baada ya kukamilika kwa miradi ya umeme ukiwemo wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato ameliambia Bunge leo Novemba 2, 2022 jijini Dodoma kuwa mwezi ujao mradi wa Kinyelezi I utakamilika na kuingiza megawati 185 katika gridi ya Taifa.

Amesema megawati hizo zitapunguza makali ya mgawo wa umeme unaendelea hivi sasa katika maeneo mbalimbali nchini ambao umeibua mjadala mpana miongoni mwa Watanzania wakiwemo Wabunge.

Aidha, Serikali ina mpango wa kutenga Sh500 bilioni kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu chakavu, jambo likalkosaidia kuokoa umeme unaopotea na kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa umeme nchini.

Kwa nini mgao wa umeme?

"Tatizo tulilonalo ni upungufu katika vyanzo vya kuzalisha umeme, mheshimiwa Spika, kwa sasa tuna upungufu wa megawati 190 katika vyanzo vya kuzalisha umeme nchini," amesema Byabato.

Byabato ametoa kauli hiyo baada ya Spika wa Bunge Dk Tulia Akson kumtaka kueleza kuhusu kukatika katika kwa umeme nchini, jambo ambalo limekuwa likileta usumbufu mkubwa kwa wananchi wakiwemo wafanyabiashara.

Dk Tulia alimtaka Naibu Waziri huyo kutoa kauli ya Serikali baada ya Mbunge wa Ndanda (CCM), Cecil Mwambe kutaka kujua mkakati wa Serikali kumaliza kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara ikiwemo mikoa ya kusini.

Spika Tulia ameitaka Wizara ya Nishati, kulitazama upya suala la mgawo wa umeme kwa kutoa kipaumbele kwa baadhi ya maeneo ambayo yanahitaji umeme zaidi ikiwemo shughuli za viwanda na huduma muhimu ikiwemo afya.

Amesema hiyo itasaidia kupunguza hasara wanayopata watu hasa wafanyabiashara katika maeneo yao.
Wewe mpina ulipobaki yatima kama jina lako ulishachanganyikiwa kabisa!

Chuki zako kwa serikali ya Samia zitakuua!
 
Mjibu kwa ufafanuzi na mifano inayoambatana na ukweli.Kuandika matusi ni sifa ya kushindwa kujihimili kuanzia mwili,akili hadi mambo ya kiroho.Na onesha kwamba weye ni mtu mzima na wala haujaomba simu kwa dada yako ambaye leo hajaenda kibaruani kupangisha wateja guest house.
 
Wewe ni mavi kaa kimya
 
Kwani Disemba imeisha ?

IMG_20211228_160309.jpg
 
Nipo hapa home umeme umekata.

Na hii ni Desembe 3.

Mlisemea Kinyerezi 1 itakuwa imekamilika.

Sasa mbona mmedanganya bunge?

====
Walichokisema November 2, 2022

Serikali imesema makali ya mgao wa umeme nchini yanaweza kupungua mwezi ujao wa Novemba baada ya kukamilika kwa miradi ya umeme ukiwemo wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato ameliambia Bunge leo Novemba 2, 2022 jijini Dodoma kuwa mwezi ujao mradi wa Kinyelezi I utakamilika na kuingiza megawati 185 katika gridi ya Taifa.

Amesema megawati hizo zitapunguza makali ya mgawo wa umeme unaendelea hivi sasa katika maeneo mbalimbali nchini ambao umeibua mjadala mpana miongoni mwa Watanzania wakiwemo Wabunge.

Aidha, Serikali ina mpango wa kutenga Sh500 bilioni kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu chakavu, jambo likalkosaidia kuokoa umeme unaopotea na kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa umeme nchini.

Kwa nini mgao wa umeme?

"Tatizo tulilonalo ni upungufu katika vyanzo vya kuzalisha umeme, mheshimiwa Spika, kwa sasa tuna upungufu wa megawati 190 katika vyanzo vya kuzalisha umeme nchini," amesema Byabato.

Byabato ametoa kauli hiyo baada ya Spika wa Bunge Dk Tulia Akson kumtaka kueleza kuhusu kukatika katika kwa umeme nchini, jambo ambalo limekuwa likileta usumbufu mkubwa kwa wananchi wakiwemo wafanyabiashara.

Dk Tulia alimtaka Naibu Waziri huyo kutoa kauli ya Serikali baada ya Mbunge wa Ndanda (CCM), Cecil Mwambe kutaka kujua mkakati wa Serikali kumaliza kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara ikiwemo mikoa ya kusini.

Spika Tulia ameitaka Wizara ya Nishati, kulitazama upya suala la mgawo wa umeme kwa kutoa kipaumbele kwa baadhi ya maeneo ambayo yanahitaji umeme zaidi ikiwemo shughuli za viwanda na huduma muhimu ikiwemo afya.

Amesema hiyo itasaidia kupunguza hasara wanayopata watu hasa wafanyabiashara katika maeneo yao.
December haijaisha mzee kaa kwa kutulia
 
Back
Top Bottom