Naibu Waziri Patrobas Katambi acha Uongo bado hujafikia huku unakojimwambafai nako na una mengi tu ya Kujifunza

ukisha lamba miguu,
inabidi uendelee kuilamba tuu ili mkono uzidi kwenda kinywani,
hatakama itabid ubadili misimamo yako uliyo kua nayo awali.

Eg - Kina Kabudi, Bashiru, Pole pole, nawengine.

Viongozi wetu wengi, niviongozi Njaa njaa.
And bahati mbaya sana wapo kotekote, upinzani na utawala! Tatizo linakuja pale wafuasi wa upinzani kuona viongozi wao ni malaika sana na hawatakiwi kuguswa kwa chochote
 
Hongera kwa moyo wa kijasiri wa kufuatilia Mawaziri duni
 
Huyu si ndiyo kuna siku mwananchi mmoja alimvimbia kwenye mkutano wa hadhara "waziri usinivunjie heshima, usinivunjie heshima weweee" halafu akapaniki na kuamuru polisi wamkamate??
Ndio huyu......hawezi control jazba ......utoto kibao....
 
Ndugu mbona hii Picha yake ya Pili Mdomo wake unang'aa kama vile unavyong'aa wa Demu wangu akiwa anapakaa vile tuvituvitu vyao?

au huyu Dogo nae ameanza kuwa Bata?
Jiongezee mzee
 
ACHA CHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVU- hao ulio wataja nani amewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama chake kama si Katambi tu
 
Mwambie akapige mswaki.
Yeye ashukuru Mungu anakula na kwenda chooni hayo mengine ni kuvimbiwa tu.
 
And bahati mbaya sana wapo kotekote, upinzani na utawala! Tatizo linakuja pale wafuasi wa upinzani kuona viongozi wao ni malaika sana na hawatakiwi kuguswa kwa chochote
sure kabisa yani,
si upinzani wala si chama tawala,
kwote wapo aisee
 
Mbona anaonekana meno yamezidi wingi mdomoni?Afanyiwe operation ya dental-fomyula!😝😝😝😝
ndo akili zako zimeishia hapo- kusema maumbile ya mtu- unajua huko ni kutukana. Utakuwa umelelewa vibaya na nyinyi ndio wale Sirro alikuwa anawasema kupitia kwa Hamza
 
ndo akili zako zimeishia hapo- kusema maumbile ya mtu- unajua huko ni kutukana. Utakuwa umelelewa vibaya na nyinyi ndio wale Sirro alikuwa anawasema kupitia kwa Hamza
Mpuuzi mwingine ni weye.Alinilea mama yako?Acha ushankupe.Unanipangia la kuandika?Kila kitu kinachoandikwa JF unataka kiendane na mawazo au hisia zako?Kafie porini kule!
 
Mpuuzi mwingine ni weye.Alinilea mama yako?Acha ushankupe.Unanipangia la kuandika?Kila kitu kinachoandikwa JF unataka kiendane na mawazo au hisia zako?Kafie porini kule!
Kumbe unachukia kutukanwa? AJABU. Acha kutukana wenzako sasa- JIHESHIMU ILI UHESHIMIWE. Vinginevyo wewe ni Hamza tu na kwa matendo yako utafanya wazazi wako watukanwe pia
 
Kumbe unachukia kutukanwa? AJABU. Acha kutukana wenzako sasa- JIHESHIMU ILI UHESHIMIWE. Vinginevyo wewe ni Hamza tu na kwa matendo yako utafanya wazazi wako watukanwe pia
Fanya yako weye!Acha ujuaji wa usiyoyajua.Lia basi kama umenuna!
 
Kujipendekeza na mikafara tu......eti anajua siasa mpuuzi

Ni wakumpuuza tu msihangaike na watu wa kuja kwenye siasa za tanzania yetu, ukiwaangalia wengine bado wananuka maziwa ya utotoni eti leo wanajua siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…