Naibu Waziri Patrobas Katambi acha Uongo bado hujafikia huku unakojimwambafai nako na una mengi tu ya Kujifunza

He is too young and premature in politics to be a master of every walk. "Utoto na cheo vinasumbua".
 
Fanya yako weye!Acha ujuaji wa usiyoyajua.Lia basi kama umenuna!
Ninune!? Kwa lipi?! Nimekueleza ambacho katika makuuzi yako hujawahi kuambiwa- ROHO YANGU IMERIDHIKA. Narudia tena- kurejea maumbile ya binadamu mwenzako ni tusi- si ustaraabu- shika neno hilo kuanzia leo.
 
Ninune!? Kwa lipi?! Nimekueleza ambacho katika makuuzi yako hujawahi kuambiwa- ROHO YANGU IMERIDHIKA. Narudia tena- kurejea maumbile ya binadamu mwenzako ni tusi- si ustaraabu- shika neno hilo kuanzia leo.
Weye jamaa ngoja nikutafutie msumeno upunguze hayo meno.Kwani ni mimi ndiye nilikutuma uwe mzembe kupiga mswaki kila siku hadi uwe na "mimeno" mibaya?Dental fomyula yako ni mbovu!Meno yako kuwa mabaya ndiyo unichukie mimi?😝😝😝😝😝
 
Huyu mwizi wa kura mchana mchana naye amekuwa wa kusikiliza kweli. Tanzania tumekwisha.
 
Ndugu mbona hii Picha yake ya Pili Mdomo wake unang'aa kama vile unavyong'aa wa Demu wangu akiwa anapakaa vile tuvituvitu vyao?

au huyu Dogo nae ameanza kuwa Bata?
Hapo Ni wakati mwenyekiti wenu wa bavicha.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Mtu una practice vipi in black and white?

Amandla...
 
Kijitu hakina hata Exposure ya maana au ya Kutisha leo Kinajimwambafai kujua Siasa zote za ndani na nje ya Tanzania.
Una uhakika gani wewe

Ulijua huyo kuwa ni Afisa Kipenyo?

Bila yale majina kuvuja wewe ulijua Jamaa ni chadema

Hata huko ccm huyo ni pandikizi

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Komredi Patrobass.P.Katambi....

Mtunduizi wa siasa za vyuo vikuu na aliyeacha alama TAHLISO....

Nimekuwa na mh.Katambi katika harakati zetu vyuo vikuu huku nikimtambua kama mzalendo mwenye maono kuntu na fikra chanya mno.....

Ngazi alizopanda si za kubebwa "kizwazwa" tu kwani unapohitaji vijana imara basi Katambi huwezi kumuwacha nje ya ulingo....

Komredi Mbowe aliuona uwezo wake mkubwa na kuamua kumchukua CHADEMA na hatimaye akawa MWENYEKITI WA BAVICHA......

Alipokuwa BAVICHA alionekana "lulu" kwelikweli 🤣

Kwa nafasi hiyo hakika anakijua vyema CHADEMA na anamjua vyema mh.Mbowe.....

#SiempreJMT
#KaziIendelee💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…