Naibu Waziri Patrobas Katambi acha Uongo bado hujafikia huku unakojimwambafai nako na una mengi tu ya Kujifunza

Akatibiwe kwanza meno
 
Kukosa exposure ya maisha na kazi pia ndio kunamfanya yule kijana kuwa vile na sio yeye tu, wapo wengi ambao wamekuwa wajinga baada ya kuzawadiwa vyeo na kujiona wana akili sana kumbe ukiwaweka kwenye competition na vijana wengi wanaachwa mbali sana...

Ni vyema teuzi za serikali na hivi vyama ziangalie sana watu wakuwapa vyeo na ofisi... elimu bila exposure inaweza isiwe na msaada, vijana wengi wamepata elimu lakini exposure hawana matokeo yale wanaishia kuwa malimbukeni waliopitiliza...kusoma pia kuende sambamba na kuelimika...
 
Alipojitoa akili na kugonga tapishi......akajipendekeza na kutumika ....njaa iko kichwani ubongo uko tumboni
Hapo ndio mnapopotea nyie makamanda uchwara. Oh Lowassa ni fisadi lakini akija kwenu anakuwa malaika na kupewa tiketi ya kugombea urais, ha ha ha.
 
Huyu si ndiyo kuna siku mwananchi mmoja alimvimbia kwenye mkutano wa hadhara "waziri usinivunjie heshima, usinivunjie heshima weweee" halafu akapaniki na kuamuru polisi wamkamate??
Ndio hako hako kashamba kwelikweli
 
Elimu gani? kalikariri tuu miji mikuu ya Africa kakapasi mtihani
 

..Chadema walidhani Katambi atawafaa.

..lakini kila anayefuatilia siasa anajua kwamba Bavicha chini ya Katambi ilikuwa imedorora.

..Katambi anatakiwa awe makini sana vinginevyo anaweza kuwa mbunge wa kipindi kimoja na yeye bado ni kijana.
 
Huyu alibebwa na ilesera ya kandayetu...sasa wanapukutishwa!!
Yaani Ridhwani akaebench huyu mpush awe NW? anavumiliwa tuu saoote atalambwa kichwa amalizie kaubunge kamiaka mi5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…