Naibu Waziri Viwanda ataka wahitimu waache kulalamika, wajiajiri

Naibu Waziri Viwanda ataka wahitimu waache kulalamika, wajiajiri

Anaongea hivyo wakati yeye yupo ofisini kwenye kiyoyozi!! Akiongea Ally Hapi ambaye yuko field nitamuelewa sana.
 
Naunga mkono hoja,
Mimi kama kijana nlipomaliza masomo yangu 2020 ya Lab technician, nlijiajir na kuanza kutoa huduma nzuur Kwa patient.
Kwa ubora WA huduma nlipata wadau wengi WA client weng mno had baadh ya wadau WA afya KATIKA jamii hio kuanza kunifuatilia nmesoma wap na nimetoka wapi na nyuma yangu Kuna nani.
Anyway nlipata pesa kiasi nkanunua ka FANcargo kangu lainii(napenda kupush ndinga)
Kitu kingne nkajingiza kwenye viwanda vdogvdgo vya kutengeneza sabuni,( detergent) n.k
Of course nlipata pase.

Turudi kweye mada.
Nikwamba baada ya kupata vihela DLT WA wilaya hio akawa anafanya ukaguzi,
Na mwsho WA siku akaangukia Kwangu na nlikua na Go ahead letter ya kuendelea kutoa huduma kutoka kwake ila alinikataa na Kusema ni MAABARA bubu, ooh my god nilipata taabu na ikafika sehm nkapelekw kituoni kifupi nlizuiliwa na kupigwa faini ya 2M
Oooh baadae nkaja fanya uvhunguzi kumbe Kuna Dispensary moja pale kwenye hicho Kijiji, mwenyw ni mtumishi mkubwa pale wilayani na nilimpiga BAO sana japo mm ilkua ni Lab only..

So nkaacha na kurudisha vifaa hom kwanza nidicus niwap naenda kianza upya.
Nashukuru nlikua na biashara ya sabuni ndo iliniweka mjini had now.

Nachotaka Kusema ni kwamba Vijana tunapenda kijiajir lkn sera na ukandamizaji uliopo ni hatar Kwa Vijana hasa ukipata mafanikio kidogo tu.

Haohao wakubwa ndo wanaoziba fursa za Vijana na kuwaambia mjiajiri kama kitimiza wajibu tuu,

Sisi watoto WA maskini tujikaze tu Allah atatuona tu
Kamkuna kiongozi yeyote wa serikali humu jukwaani na amekusoma basi atapeleka ujumbe kwa wenzake kwamba mmeshashitukia siasa zao na ukweli halisi mnaujua.
Tanzania ni nchi ambayo viongozi wanaua vipaji vya kila mbunifu wanakwambia kajiajiri hawakupi mkopo lakini ukidunduliza ukaanzisha kashughuli ka kujiajiri wanakushukia kama mwewe na kukuzima kabisa ndoto zako.

Umesema kila kitu hasa kuhusu wewe ni mtoto wa nani vinginevyo uwe na connection kupitia uchawa.
 
Back
Top Bottom