Naibu Waziri Viwanda ataka wahitimu waache kulalamika, wajiajiri

Anaongea hivyo wakati yeye yupo ofisini kwenye kiyoyozi!! Akiongea Ally Hapi ambaye yuko field nitamuelewa sana.
 
Kamkuna kiongozi yeyote wa serikali humu jukwaani na amekusoma basi atapeleka ujumbe kwa wenzake kwamba mmeshashitukia siasa zao na ukweli halisi mnaujua.
Tanzania ni nchi ambayo viongozi wanaua vipaji vya kila mbunifu wanakwambia kajiajiri hawakupi mkopo lakini ukidunduliza ukaanzisha kashughuli ka kujiajiri wanakushukia kama mwewe na kukuzima kabisa ndoto zako.

Umesema kila kitu hasa kuhusu wewe ni mtoto wa nani vinginevyo uwe na connection kupitia uchawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…