Wizara ya Afya Tanzania
Official Account
- Oct 1, 2020
- 58
- 127
ππππ€£πππ πππ€£πππAmebainije wakati ni taarifa alizopewa na yeye kaitisha vielelezo na maelezo kujiridhisha?
Wangeamua kupika data asingebaini. Yaani yeye katangaza tu.Amebainije wakati ni taarifa alizopewa na yeye kaitisha vielelezo na maelezo kujiridhisha?
Yani mnakimbizana na tumilioni tisa wakati kuna watu wamekwapua 1.5 T na mko kimyaa!
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amebaini wizi wa dawa unaofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa ambapo katika ushahidi alionao amesema kuwa Idara ya Famisia imehusika katika upotevu wa dawa za thamani ya Tsh Milioni 9.
Dkt. Mollel amesema hayo katika kikao kazi na watumishi wa hospitali hiyo ambapo alimwita Mfamasia wa Hospitali hiyo pamoja na Mganga Mfawidhi kuhakiki taarifa hizo alizonazo na wote kukiri kuwa ni kweli.
Miradi mikubwa yanaibiwa Mabillion leo Mil 9 wanaitaa Cameraa kama zoteee...!!Yani mnakimbizana na tumilioni tisa wakati kuna watu wamekwapua 1.5 T na mko kimyaa!