Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

Akili ndogo kuelewa uamzi wa akili kubwa ni ngumu,makonda anajua virus ana ukubwa gani lakini pia hivyo vitambaa vya vitenge vipenyo vyake vikoje,usidhani anongea from no where,wewe ndo unatuchanganya
Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
Kuna mwenye akili zake timamu anayemsikiliza bwana ziro?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
Huu ni upingaji wa kipumbavu sasa ,lengo la barakoa ni kukukinga usirushe matone ya mate au chafya kwa mtu wa jirani yako unapoongea, pia itakinga mikono yako kukugusa midomo na pua.

Makonda yupo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanakurupuka tu kila kitu wanapinga....

Barakoa ya cotton ukikunja mara mbili inazuia 70% sasa chagua ukae wazi au uvae
Huu ni upingaji wa kipumbavu sasa ,lengo la barakoa ni kukukinga usirushe matone ya mate au chafya kwa mtu wa jirani yako unapoongea, pia itakinga mikono yako kukugusa midomo na pua.

Makonda yupo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba mwenye ufahamu aweke contact simu , picha aina barakoa na bei zake,upatikaji na location

Watalaam pia wasaidie kanuni ya aina kitambaa na ramani mchoro tuanze kushona mitaani.Uvaaji wa Barakoa umesaidia sana nchi za Asia kuzuia kuenea maambukizi kwa kasi.
Jumapili njema tukiendelea maombi maalumu kutubu na kujikabidhi kwa Mungu dhidi ya corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetoka Kununua ' Barakoa ' Moja muda si mrefu ila nimeshangaa nimerudi nayo tu ' Kitaani ' Kwangu nikiwa nimeivaa tena kwa ' Mikogo ' yote ila kila nikikutana tu na Watoto wadogo wananikimbia. Je, Sura yangu iliyo mbaya ukijumlisha na hii ' Barakoa ' vyaweza kuwa ndiyo Kisababishi?
 
Hahahaha

Mie nimeanza kujizoesha kutambua watu wangu wa karibu kwa maumbile maana sasa sura zetu zimekuwa sehemu za siri muda wote tunatakiwa kuvaa.chupi za kufunika uso

Sasa hivi kutembea uso wazi ni hatare sawa na kutembea tako wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom