lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Hizi Ni hesabu za wapi???
Milioni 60 ziwatoshe watu million 60 kwa million moja moja[emoji849]
60,000,000×1,000,000= 60,000,000,000,000 hyoo ndo hesabu kila mtanzania akipewa million moja!Watanzania hatuzidi milioni 60 kwanini basi serikali isitoe tu Milioni 60 ili kila mtanzania apewe milioni 1 imsaidie katika kipindi hiki cha Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
Mnatetea ujinga sanaAkili ndogo kuelewa uamzi wa akili kubwa ni ngumu,makonda anajua virus ana ukubwa gani lakini pia hivyo vitambaa vya vitenge vipenyo vyake vikoje,usidhani anongea from no where,wewe ndo unatuchanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwenye akili zake timamu anayemsikiliza bwana ziro?Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
uyo jamaa kapiga bangi kinyamaHizi Ni hesabu za wapi???
Milioni 60 ziwatoshe watu million 60 kwa million moja moja[emoji849]
Unajua hesabu?Watanzania hatuzidi milioni 60 kwanini basi serikali isitoe tu Milioni 60 ili kila mtanzania apewe milioni 1 imsaidie katika kipindi hiki cha Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize huyu dadaKuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
Huu ni upingaji wa kipumbavu sasa ,lengo la barakoa ni kukukinga usirushe matone ya mate au chafya kwa mtu wa jirani yako unapoongea, pia itakinga mikono yako kukugusa midomo na pua.Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
Mimi au Ndungulile ?Huu ni upingaji wa kipumbavu sasa ,lengo la barakoa ni kukukinga usirushe matone ya mate au chafya kwa mtu wa jirani yako unapoongea, pia itakinga mikono yako kukugusa midomo na pua.
Makonda yupo sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni upingaji wa kipumbavu sasa ,lengo la barakoa ni kukukinga usirushe matone ya mate au chafya kwa mtu wa jirani yako unapoongea, pia itakinga mikono yako kukugusa midomo na pua.
Makonda yupo sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndogo kuelewa uamzi wa akili kubwa ni ngumu,makonda anajua virus ana ukubwa gani lakini pia hivyo vitambaa vya vitenge vipenyo vyake vikoje,usidhani anongea from no where,wewe ndo unatuchanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haWatanzania hatuzidi milioni 60 kwanini basi serikali isitoe tu Milioni 60 ili kila mtanzania apewe milioni 1 imsaidie katika kipindi hiki cha Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani unamaanisha kila mmoja apewe sh. 1 maana sh 1 x 60m = 60m.Watanzania hatuzidi milioni 60 kwanini basi serikali isitoe tu Milioni 60 ili kila mtanzania apewe milioni 1 imsaidie katika kipindi hiki cha Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi Ni hesabu za wapi???
Milioni 60 ziwatoshe watu million 60 kwa million moja moja[emoji849]