Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Rais anachagua walamba viatu tu kipindi hili.. Mwigulu Nchemba na huyu Mollel, bado yule Katibu Mkuu na Mganga Mkuu aliweka ma cronies wake ambao ni ndio Mzee

Mwigulu na Mollel ukiwasikia Bungeni michango yao ni kumtetea Rais kwa dakika zote wanazoongea na kutukana upinzani, husikii wakitoa ushauri wala mapendekezo, wao ni kusifu na kutukana basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom