Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Ummy vipi mbona anamuacha.
Yaani mule kichwani kwa yule bwana kumejaa sifuri!

Halafu ma CCM wafia chama mpo kwenye chama miaka na miaka vyeo wanapewa chadema aisee mna moyo sana na bado mnakomaa tu mnahisi mtachaguliwa jiongezeni bwana
 
Maneno ya huyu baba yanavoniumiza Roho
Nasubiri hiyo kesho atakavoturushia makombora
 
Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona.

Ndungulile hakupigia debe matakwa ya bosi wake ya kutumia tiba za kienyeji.
Mimi nimeumwa Corona na sikwenda hospitalini, nimetumia njia za asili na nimepona.
Hata nikafungua uzi humu kutoa ushuhuda wangu.
Sayansi sio jawabu la kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi huyu Dr. Faustine Ndungulile alijaribu kutoa ushauri wa kisayansi unaohusu medicine na public health kitu ambacho hakitakiwi kwa wanaoamini kujifukiza na nguvu za kiimani.
Hata alivyokuwa anaongea unaona kabisa hakubaliani na namna jinsi Magufuli anavyofanya. Kesho BAKWATA mtapewa za uso najua jumatatu mnatengua kauli ya kuzuia ibada ya eid!
 
Magufuli bwana naona ana masihara sana. Ile kamati ya Ummy kumbe Prof. Lyamuya alijiuzulu uenyekiti na akajiondoa kamatini. Serikali hii ni ya ajabu sana sana.

Ndugulile amejiuzulu asitudanganye hapa!
Kajiuzulu ?Mbona barua inasema katenguliwa ?
 
Back
Top Bottom