Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Acha upuuzi, kamati ishamaliza kazi yake kitambo na tiari ishawasilisha ripoti na haya muyaonayo leo ndo utekelezwaji wa mapendekezo, alipojiuzulu kwa nini hukutangaza humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kamati ipendekeze naibu aondolewe kisha waziri kamili abaki. Ujue unabishana na mtu mwenye akili na upelelezi wa hali wa juu wa mambo. Ukiona nimeandika kitu usijibu tena utumbo kama huu. Jiondokee kimya kimya.
 
IMG_20200513_134232.jpg
 
Jiwe anafanya maamuzi ya kipuuzi sana anatoa wenye taalumu anaweka anawajua yeye bora angemwondoa Ummy Mwalimu hana utalamu hiyo wizara ni kama muuzaji uji ukampeleka kwenye kuuza dawa za mifugo
Hapo kwenye taaluma, administrative siyo lazima top leader wa organisation flani kuwa mwenye taaluma inayoendana na kile anachokiongoza ndo maana unaona Mwigulu yupo kwenye katiba na sheria japo kasoma uchumi n.k hiyo haina shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dkt Faustine Ndugulile, aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Nafasi hiyo imechukuliwa na Dkt Godwin Mollel, Mbunge wa Siha, aliyeteuliwa Mei 16 kushika nafasi ya Dkt Ndugulile

Uteuzi wa Dkt Mollel unaanza Mei 16, 2020

View attachment 1452060
Huyu Msigwa naye anaishi Chato sasa? Atakuwa anakunja maposho ya kufa mtu . Kufanya kazi nje ya kituo cha kazi. . Hongera zake. Ila asisahau huko nyumbani mkewe wahuni wanaweza kuleta masikhara.
 
Ukiwa na "layman" kwenye masuala nyeti harafu mbishi, mjeuri na mwenye ego kubwa kuliko kichwa chake, ni tatizo.

Dr. Ndungulile alipinga huo ujinga wa kupropagate the so called nyungu bila facts (miti ipi, kiasi gani, ujifukize dakika ngapi etc). Pia alipinga mambo ya barakoa za kushona. Kiufupi alikuwa anampa shule Jiwe na kwa Jiwe hilo ni kosa kubwa
Haswaàaaaaaaa !!!! , sasa ni dhahiri 2015 hii nchi iliingizwa choo cha kike tena cha Bar ya Buza kwa Lulenge
 
Jambo zenu ndugu.
Naombeni kujuzwa ratiba ya kesho ya kuapishwa kwa huyu naibu waziri mpya aliyeteuliwa leo.

Sitaki kupitwa hata neno moja kwenye hotuba ya kesho, najua Kuna mabomu na makombora ya hatari yanategemewa kulipuliwa kwenye ukanda wote wa Africa mashariki na kusini.

Naombeni mda stahiki wajumbe, nasisitiza naombeni mda wa ratiba sahihi.
 
Back
Top Bottom