chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Siyo kila kitu ni barua, acha kukariri weweWeka hapa barua ya kujiuzulu. Vinginevyo acha kupotosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila kitu ni barua, acha kukariri weweWeka hapa barua ya kujiuzulu. Vinginevyo acha kupotosha.
Chagua utaalaamu ufe njaa au utii maagizo usife njaa
Nasubiri vijembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaapishwa lini, naona ni nafasi ya kumjibu R.Odinga, Kagame et al ilikuwa inatafutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaNaona bavicha mpo mnashambulia uzi kama nyuki huku mkipiga ramli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekaa poaUna tengua Naibu unaacha Waziri mwenyewe hii imekaaje
Dark Side
Na ndio mtaalam wa magonjwa ya kuambukiza.Alipinga habari za kujifukiza na kuvaa barakoa za vitambaa, alitaka twende kisayansi zaidi wakati baba anawaza mbina
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una uhakika ganiNdugulile kajiuzulu mkuu. Hiyo ni janja ya Magufuli.