HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Am happy huyu Mollel kichwa kizuri sana asante Rais kwa kumuona huyu comrade, he is such an awesome brain
Wote tuombe,Taifa limekwama mahali
Huna ulijualoUpuuzi mtupu huna ulijualo kaa kimya, Masauni baada ya wizara kuvurunda aliondolewa? usijiaibishe hapa subiri Chuma atakueleza kwa nini kamwondoa na ninakuquote ili usije kuedit posts zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Only kwa Magufuli wizara inakuwa dhaifu kisha wanaondoka katibu mkuu, naibu waziri huku waziri akiachwa.
Jambo zenu ndugu.
Naombeni kujuzwa ratiba ya kesho ya kuapishwa kwa huyu naibu waziri mpya aliyeteuliwa leo.
Sitaki kupitwa hata neno moja kwenye hotuba ya kesho, najua Kuna mabomu na makombora ya hatari yanategemewa kulipuliwa kwenye ukanda wote wa Africa mashariki na kusini.
Naombeni mda stahiki wajumbe, nasisitiza naombeni mda wa
NIMECHEKA KWA SAUTI
Ila akiwa anaongea mushauri hasiogee maneno mazito dhidi ya majirani wetu hususani Kenya Rwanda na zambia anaweza akaanzisha marumbano ambayo atayashida tutaumia sisi watu wachiniKesho tutarajie tena maneno ya ajabu wakati wa kiapo.
Halafu Zitto kabwe akisema watu wanamshambulia kweli kweli.
Ila kwa kweli Mimi simlaumu Mkuu wa nchi, nawalaumu wenye dhamana ya kulinda usalama wa nchi kwasababu naamini wao ndio wanajukumu kubwa la kupindua mwelekeo hata wa Mkuu wa nchi kama unaonekana unaihatarishi nchi kwa namna yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Awaambie nini wakati hamuwezi kurudi bungeniHivi October atakuja kutuambia nini Sizonje?[emoji2369][emoji2369]
Na mie nasubiri jibu.
EAC nchi ya kidiplomasia ilikuwa ni Tz peke yake, ila kwa sasa mambo ni tofauti kabisaWell said. Huyu mjinga ataropoka yote ya moyoni. Yaaani ndio vuruga kabisa urafiki na uhusiano na majirani zetu.
JK MUNGU ANAKUONA, ULIINGIA NA JINA LA KICHAA MFUKONI.
Sent using Jamii Forums mobile app