Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

.
20200516_215908.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
EAC nchi ya kidiplomasia ilikuwa ni Tz peke yake, ila kwa sasa mambo ni tofauti kabisa
Angalia Burundi, Uganda, S.Sudani, Rwanda, Kenya alafu Tz. Hawa watu hawakai meza moja, sasa kilichobaki tusubiri jiwe aongee ili tujue ni lini hasa tunagawana fito rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahahahahahaha, ndiko tunakoelekea huko, ila Mimi wakianza kurushiana maneno nitamshabikia yuleeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DKT FAUSTINE NDUGULILE ATENGULIWA

View attachment 1452133

Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dr Faustine Ndugulile Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni.

Nafasi hiyo imechukuliwa na Dkt Godwin Mollel, Mbunge wa Siha, aliyeteuliwa Mei 16 kushika nafasi ya Dkt Ndugulile

Uteuzi wa Dkt Mollel unaanza Mei 16, 2020

Faustine aliteuliwa 07 Oktoba 2017 akichukua nafasi ya Khamis Kigwangala aliyeenda kuwa Waziri wa Utalii

Zaidi, soma

1). Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19? - JamiiForums

2). Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya - JamiiForums



Ukisimamia taaluma hiyo ndiyo hatma yako!
 
Back
Top Bottom