Wazir pekee aliyesimama kulinda professional yake!Ilianza suala la kuvaa barakoa,akapinga barakoa za kisiasa,wanasiasa walisema watu wavae matambaa,yeye hakuamini hizo akasimamia barakoa stahik.Ikaja suala la kujivukiza,yeye akapinga halipo kitaalam akisema mvuke unaweza kuathir mfumo wa hewa.Ukimwangalia Mh.Ndugulile alipingana na strategies za serikali ktk kupambana na Corona.Sasa aliteuliwa ndio boya kabisa,japo atakuwa na muda mfupi cdhan angeweza kudumu.
Katika awamu hii nimeshuhudia wateule wote ni wafuata upepo,hakuna hata wazir aliye na uwezo wa kutumia akili yake kutatua tatizo ama kubuni mikakati na hii ndio maana wanajikuta uteuz wao ukitenguliwa.Nchi hii ni ya mtu mmoja tu,wateule inabidi wawe makini sana ktk kazi zao.Kuna watu wanajua kwenda naye,mfano wazir wa mambo ya nje,Tamisemi,elimu,Ulinz n.k.
Sent using
Jamii Forums mobile app