Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona.

Ndungulile hakupigia debe matakwa ya bosi wake ya kutumia tiba za kienyeji.
Wapiga ramli mshaanza, tulia utasikia tu sababu maadamu masikio unayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli bwana naona ana masihara sana. Ile kamati ya Ummy kumbe Prof. Lyamuya alijiuzulu uenyekiti na akajiondoa kamatini. Serikali hii ni ya ajabu sana sana.

Ndugulile amejiuzulu asitudanganye hapa!
Halafu Zitto kabwe akisema watu wanamshambulia kweli kweli.

Ila kwa kweli Mimi simlaumu Mkuu wa nchi, nawalaumu wenye dhamana ya kulinda usalama wa nchi kwasababu naamini wao ndio wanajukumu kubwa la kupindua mwelekeo hata wa Mkuu wa nchi kama unaonekana unaihatarishi nchi kwa namna yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli bwana naona ana masihara sana. Ile kamati ya Ummy kumbe Prof. Lyamuya alijiuzulu uenyekiti na akajiondoa kamatini. Serikali hii ni ya ajabu sana sana.

Ndugulile amejiuzulu asitudanganye hapa!
Acha upuuzi, kamati ishamaliza kazi yake kitambo na tiari ishawasilisha ripoti na haya muyaonayo leo ndio utekelezwaji wa mapendekezo, alipojiuzulu kwa nini hukutangaza humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ummy vipi mbn anamuacha.
Yani mule kichwani kwa yule bwana kumejaa sifuri!
Alaf ma CCm wafia chama mpo kwenye chama miaka na miaka vyeo wanapewa chadema aisee mna moyo sana na bado mnakomaa tu mnahisi mtachaguliwa jiongezeni bwana
Ujembe umfikie kibajaji na wenzake
 
Back
Top Bottom