Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

Withdraw iko more safe lakni inahitaji utalaamu wa hali juu kuuchomoa uume na utamu wote ule...

Njia nzuri tumia mpira maana itakulinda na magonjwa mengine pia nje na mimba zisizotarajiwa.
Ndio mjifunze huo utaalamu.

Uliona wapi wanandoa wanatumia mipira 😱
 
Akijibu swali la Mbunge Thea Ntara ambae aliuliza,

"Hili suala sasa hivi linatisha, mabinti wanatumia hizo P2 kama unavyotumia panadol yaani hakuna utaratibu, tutafika wakati mabinti hawa hawataweza kupata watoto, je serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa hao mabinti ili wajue matumizi ya P2 pamoja na hizo 'Energy drink'," - Mbunge Dkt Thea Ntara

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Molle amejibu swali hilo kwa kusema,

"Ni kweli matumizi ovyo ya P2 yanaleta madhara mengi, inasababisha akina mama kupata hedhi ambayo haina mpangilio na wakati mwingine kupata matatizo ya mifupa, sisi wote kwa pamoja tushirikiane kuhamasisha matumizi mazuri ya P2 yanayozingatia ushauri wa kitaalamu," - Naibu Waziri wa Afya

Mollel amesema P2 ni njia ya dharura ya vidonge vya uzazi wa mpango ambayo hutumika kuzuia mimba kwa Mwanamke aliyefanya tendo la kujamiiana bila kinga kwa mfano aliyebakwa au ametumia condom ikapasuka na anadhani anaweza kupata mimba asiyoitarajia wakati Sayana Press ni njia ya kuzuia kupata ujauzito kwa muda mrefu, hivyo matumizi ya kuzuia mimba kwa Sayana Press na P2 ni tofauti.

Nini maoni yako?

#Bungeni
Written by Mjanja M1 ✍️
Sayana Press ni kitu gani Mkuu??
 
Ndio mjifunze huo utaalamu.

Uliona wapi wanandoa wanatumia mipira 😱
Kwa wanandoa kuna muda mpira ni muhimu sana, ndoa zenyewe hizi ambazo wanandoa ndio wanaongoza kuchepuka.

Anyway, ni kumuomba Mungu tu kutuepusha na kadhia za huko nje...
 
Kwa wanandoa kuna muda mpira ni muhimu sana, ndoa zenyewe hizi ambazo wanandoa ndio wanaongoza kuchepuka.

Anyway, ni kumuomba Mungu tu kutuepusha na kadhia za huko nje...
Amen
 
‘Kuhamasisha matumizi’ na ‘kuhamasisha matumizi mazuri’ ni kauli mbili zenye maana sawa?
 
Back
Top Bottom