TANZIA Naibu Waziri wa Elimu Mstaafu Mzee Nazar Nyoni afariki dunia

Kila mtoto wa mkubwa unadai umesoma naye hii inaweza ikawa kweli au ikawa kamba

Rip🕯

RIP Mr. Nyoni.

Pascal kama sikosei kasoma Oysterbay Primary, pale watoto wa vigogo wengi walisoma kwa sababu ndio eneo walilokaa, halafu siku hizo watu wote wanasoma pamoja kulikuwa hakuna shule za msingi za private.

Kwa hiyo ukiwa umesoma shule kama Oysterbay, Muhimbili, Bunge, Forodhani kusoma na watoto wa mawaziri au hata rais ilikuwa ni kitu cha kawaida tu.
 
Asante kwa taarifa hii, wakati akiwa. Naibu Waziri, nimesoma primary na watoto wake wawili wa kiume, mmoja akiitwa Paskali, jina lilikuwa Nizar Nyoni, kumbe ni Nazar!

Waziri wake alikuwa Tabitha Siwale.
RIP Waziri Nyoni.
P
Aisee..Pole na hongera sasa....Kwanini huwa hawakupi konekisheni,walau...? Nina amini hao Schoolmates wako njema tu ...
 
Kila mtoto wa mkubwa unadai umesoma naye hii inaweza ikawa kweli au ikawa kamba
Rip🕯
Sio kila mtoto wa mkubwa, but watoto wa mawaziri karibu wote wa Nyerere walisoma hapo,
Primary yangu ni O/Bay tulikuwa na
Watoto wa Malecela akiwa VP II na PM mmoja darasa moja.
Watoto wa Kawawa,
Watoto wa Warioba
Watoto wa mawaziri karibu wote
Watoto wa waserikali karibu wote wakiwemo Watoto wa Jaji Mkuu, Nyalali mkewe ni mwalimu wetu, na Watoto wa Prof. Sarungi, Isaac Sepetu, na wakubwa serikalini enzi hizo.
Huyu Dr. Mwinyi alinitangulia madasa mawili Primary.
Mimi mwenyewe baba na mama walikuwa serikalini.

Sekondari nikaenda Tambaza huko nikasoma na mtoto mmoja wa kwa Nyerere pale Msasani, na mtoto wa Mkapa darasa moja, A level kulikuwa na Mtoto wa Malecela akipiga PCM, akaja binti Malecela form V akipiga PCB, darasa moja na Husein Mwinyi.

A Level nikaenda Ilboru, darasa moja na mtoto wa Warioba.

UDSM sheria nikakutana na Riz1.

Mtoto wa Mkapa alihamia US, hivyo nilipokwenda US, akaniconnect na Mshure wake.

One good thing about me na watoto wa wakubwa, nawaona ni watu wa kawaida sana, sijipendekezi kwao kutaka favours zozote kwa wazazi wao.

Nime interact na Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia by virtue of my journalistic professional na sio kwasababu nimesoma na watoto wao na sijawahi ku lobby uteuzi kwa yeyote!.
P.
 
Sijawahigi kuomba connection kwa yeyote kwasababu na mimi niko njema kwa viwango vyangu. Wengi wa wananchi wa kawaida wanapanga nyumba za vyumba viwili na sebule, mimi nimepanga ubazi mzima!, hivyo niko njema kwa kiwango hicho.

Wengi wa wananchi wa kawaida wanatumia usafiri wa public transport wa dala dala, mimi natumia boda boda, naimiliki mwenyewe na kuiendesha mwenyewe, hivyo niko njema fulani kwa kiwango hicho sihitaji connection ya yeyote.

P
 
RIP Mr. Nyoni.

Pascal kama sikosei kasoma Oysterbay Primary, pale watoto wa vigogo wengi walisoma kwa sababu ndio eneo walilokaa, halafu siku hizo watu wote wanasoma pamoja kulikuwa hakuna shule za msingi za private.

Kwa hiyo ukiwa umesoma shule kama Oysterbay, Muhimbili, Bunge, Forodhani kusoma na watoto wa mawaziri au hata rais ilikuwa ni kitu cha kawaida tu.
You are right. Tena enzi hizo watoto wa mawaziri wanatembea kwa miguu tuu, kwa Malecela tulikuwa tunakwenda kucheza na mbuzi!.
P
 
Then wewe utakuwa ni wa post 2000, wale waliokuwa wanaangalia TV from 1995-2000 wanakijua kipindi changu cha Kiti Moto, hayo ndio maswali yangu!, kuna viongozi walikuwa wanakimbia!.
P
Mimi huwa napenda unavyotangaza Sabasaba na Nanenane! Una vimaswali hivi vya kijingakijinga huwa nacheka sana! "Yaani hii bidhaa imetengenezwa hapa hapa Tanzania?"😁😁
 
Kwenye uandishi wa habari na utangazaji kuna hard news na soft news, na kwenye vipindi kuna serious hard programs na light soft programs, Saba Saba na Nane Nane ni light soft programs, hivyo navifanya with a light touch. Nina a weekly hard TV program ya KMT inarushwa Channel Ten kila Jumapili usiku. Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose! au J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
P
 
Sio kila mtoto wa mkubwa, but watoto wa mawaziri karibu wote wa Nyerere walisoma hapo,
Primary yangu ni O/Bay tulikuwa na
Watoto wa Malecela akiwa VP II na PM mmoja darasa moja.
Watoto wa Kawawa,
Watoto wa Warioba
Watoto wa mawaziri karibu wote
Watoto wa waserikali karibu wote wakiwemo Watoto wa Jaji Mkuu, Nyalali mkewe ni mwalimu wetu, na Watoto wa Prof. Sarungi, Isaac Sepetu, na wakubwa serikalini enzi hizo.
Huyu Dr. Mwinyi alinitangulia madasa mawili Primary.
Mimi mwenyewe baba na mama walikuwa serikalini.

Sekondari nikaenda Tambaza huko nikasoma na mtoto mmoja wa kwa Nyerere pale Msasani, na mtoto wa Mkapa darasa moja, A level kulikuwa na Mtoto wa Malecela akipiga PCM, akaja binti Malecela form V akipiga PCB, darasa moja na Husein Mwinyi.

A Level nikaenda Ilboru, darasa moja na mtoto wa Warioba.

UDSM sheria nikakutana na Riz1.

Mtoto wa Mkapa alihamia US, hivyo nilipokwenda US, akaniconnect na Mshure wake.

One good thing about me na watoto wa wakubwa, nawaona ni watu wa kawaida sana, sijipendekezi kwao kutaka favours zozote kwa wazazi wao.

Nime interact na Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia by virtue of my journalistic professional na sio kwasababu nimesoma na watoto wao na sijawahi ku lobby uteuzi kwa yeyote!.
P.

HONGERA Sana mkuu upo smart Sana.✊🏿
 
Safi sana , majibu murua kabisa watanzania wengi akiona unajuana na watu anadhani lengo kuu ni kutafuta nyadhifa na pesa ! Kumbe kuna watu wanafurahia wanachokifanya na wameridhika na kazi zao !
 
Kila mtoto wa mkubwa unadai umesoma naye hii inaweza ikawa kweli au ikawa kamba

Rip🕯
Miaka ile kusoma pamoja Watoto wa wakubwa na watoto wa makapuku ilikuwa kiti cha kawaida shule zote zilikuwa za umma. Shule walizosoma wengi wa watoto wa wakubwa hapa dar zilikuwa Oysterbay, Bunge, Olympio Mimi mwenyewe ukiondoa Watoto wa Nyerere tu Watoto wote wa vigogo wa serikali miaka ile ya sabini mwanzoni hadi mwishoni mwishoni nilisoma nao hapa Dar.
 
Back
Top Bottom