Tuna Mawaziri SIFURI kwenye hii awamu!Huyu si ndio alisema fainali ya shirikishi itapigwa kwa Mkapa ila ikaenda Aman au kumbukumbu zangu hazipo sawa?
Sikushangai maana mbumbumbu ni chiziMkuu ina maana hujui kama yanga ni kama mazuzu yani hadi, sasa madai yenu ni yapi mtake msitake mtacheza, na mtake msitake simba bingwa.
Alisisitiza pia fainali itakuwa kwa mkapa shuaini zake
Wapi Kongwa?Sema sababu Hersi anataka ubunge basi atapeleka timu.
Uko sahihi mkuu, ni yeye..Huyu si ndio alisema fainali ya shirikishi itapigwa kwa Mkapa ila ikaenda Aman au kumbukumbu zangu hazipo sawa?
Tuna shida na weledi wa viongozi wetu. Hakupaswa kujibu with certainty kuwa mechi ipo kwa namna ambayo khali ya hii mechi ilivyo. Kesho akiulizwa ataanza kutafuta chochoro la kukimbiliaWakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?
==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Katika kipindi cha Maswali na Majibu mapema leo, Ijumaa Mei 30, 2025, bungeni jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA', alijibu swali kutoka kwa Naibu Spika, Mussa Hassan Zungu, kuhusu hatima ya mechi hiyo kufuatia ukarabati mkubwa wa uwanja huo.
Zungu alitaka kufahamu iwapo uwanja wa Mkapa utakuwa tayari kwa mechi hiyo, huku akitumia kauli ya utani kuuliza: “Kwa hiyo Mheshimiwa Waziri, tarehe 15, Mnyama (Simba) yupo kwa Mkapa?
Mwana FA, amethibitisha pasi na shaka kuwa: “Tarehe 15 Mnyama yupo kwa Mkapa, wakipambana na mahasimu wao Yanga.”
Itakumbukwa kuwa awali, pambano hilo la watani lilikuwa lipigwe Machi 8, Mwaka huu kabla ya kuahirishwa na Bodi ya Ligi (TPLB) na baadaye kupagwa kuchezwa Juni 15, mwaka huu.
Hata hivyo, pamoja na kuwapo kwa ratiba hiyo, uongozi wa Yanga umeendelea kusisitiza kuwa hauko tayari kucheza mchezo huo, ukishinikiza kupewa majibu ya kilichosababisha mchezo huo kuahirishwa awali.
View attachment 3350734
Hali gani ilivyo wakati ratiba imeshapangwaTuna shida na weledi wa viongozi wetu. Hakupaswa kujibu with certainty kuwa mechi ipo kwa namna ambayo khali ya hii mechi ilivyo. Kesho akiulizwa ataanza kutafuta chochoro la kukimbilia
Mwana Fa ni kolo lia lia, hakuna jipya🤣Wakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?
==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Katika kipindi cha Maswali na Majibu mapema leo, Ijumaa Mei 30, 2025, bungeni jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA', alijibu swali kutoka kwa Naibu Spika, Mussa Hassan Zungu, kuhusu hatima ya mechi hiyo kufuatia ukarabati mkubwa wa uwanja huo.
Zungu alitaka kufahamu iwapo uwanja wa Mkapa utakuwa tayari kwa mechi hiyo, huku akitumia kauli ya utani kuuliza: “Kwa hiyo Mheshimiwa Waziri, tarehe 15, Mnyama (Simba) yupo kwa Mkapa?
Mwana FA, amethibitisha pasi na shaka kuwa: “Tarehe 15 Mnyama yupo kwa Mkapa, wakipambana na mahasimu wao Yanga.”
Itakumbukwa kuwa awali, pambano hilo la watani lilikuwa lipigwe Machi 8, Mwaka huu kabla ya kuahirishwa na Bodi ya Ligi (TPLB) na baadaye kupagwa kuchezwa Juni 15, mwaka huu.
Hata hivyo, pamoja na kuwapo kwa ratiba hiyo, uongozi wa Yanga umeendelea kusisitiza kuwa hauko tayari kucheza mchezo huo, ukishinikiza kupewa majibu ya kilichosababisha mchezo huo kuahirishwa awali.
View attachment 3350734
As usual Tutawafumua 🐒 hawataaminiiii