Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?

==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Katika kipindi cha Maswali na Majibu mapema leo, Ijumaa Mei 30, 2025, bungeni jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA', alijibu swali kutoka kwa Naibu Spika, Mussa Hassan Zungu, kuhusu hatima ya mechi hiyo kufuatia ukarabati mkubwa wa uwanja huo.

Zungu alitaka kufahamu iwapo uwanja wa Mkapa utakuwa tayari kwa mechi hiyo, huku akitumia kauli ya utani kuuliza: “Kwa hiyo Mheshimiwa Waziri, tarehe 15, Mnyama (Simba) yupo kwa Mkapa?

Mwana FA, amethibitisha pasi na shaka kuwa: “Tarehe 15 Mnyama yupo kwa Mkapa, wakipambana na mahasimu wao Yanga.”

Itakumbukwa kuwa awali, pambano hilo la watani lilikuwa lipigwe Machi 8, Mwaka huu kabla ya kuahirishwa na Bodi ya Ligi (TPLB) na baadaye kupagwa kuchezwa Juni 15, mwaka huu.

Hata hivyo, pamoja na kuwapo kwa ratiba hiyo, uongozi wa Yanga umeendelea kusisitiza kuwa hauko tayari kucheza mchezo huo, ukishinikiza kupewa majibu ya kilichosababisha mchezo huo kuahirishwa awali.

Swali kauliza jingine anajibu vingine, hao yeye na zungu wote ni makolo kelele nyingi za nini? Yanga wakiamua watacheza na wasipoamua hawatacheza, na hawatafanywa lolote maana hiyo ndio michezo ya Simba na Yanga, Kule Misri Al Ahly aligoma na hajakatwa hata point 1 ndivyo hapa Bongo. Simba aligoma na hakuna kilichofanyika na Yanga akigoma ni hivyo hivyo
 
Si walishaamua HAWACHEZI😂😂🤣

Waamue kucheza tena kivipi?

Mbona mnakuwa kama mademu wa Iringa?😃😃😂😂
 
Kama engineer anautaka ubunge basi mtihani wake wa kwanza ni kupeleka timu uwanjani na mgeni rasmi ni madam P
 
Kwani huwezi kuchangia mada hadi uwafananishe wanaume na mademu? We we ***** nini
🤣🤣🤣😂
Naweza kuchangia bila kuwahusisha wanaume na mademu lakini kwa hii nimeona inafaa niwahusishe. Usinipangie, shabash😎😎.

Sijataka kuwahusisha machoko na hawapo kichwani mwangu, ila mademu wapo.🤣😂

Unaniuliza kuwa mimi *****, Hapana mkuu, mimi sio ***** mwenzio, mimi ni dume halisi lisilotumia machoko kama nyie. Pambav😎😎😎
 
Wewe ni mpumbavu, katika ile barua ya Simba waliandika nini? Je walichodai kuna kilichofanyiwa kazi hata kimoja? Kwanini wadai leo wanataka kucheza tena? Hao sio mademu kwa mujibu wa mtazamao wako? Acha kuweka vi imoji huo ni ushoga. Unacheka cheka mbele za wanaume unashida gani Dada?
 
Wewe jamaa acha ufala na kujipendekeza kwa wanaume. Nahusudu mademu si michoko😎😎
 
Swali kauliza jingine anajibu vingine, hao yeye na zungu wote ni makolo kelele nyingi za nini? Yanga wakiamua watacheza na wasipoamua hawatacheza, na hawatafanywa lolote maana hiyo ndio michezo ya Simba na Yanga, Kule Misri Al Ahly aligoma na hajakatwa hata point 1 ndivyo hapa Bongo. Simba aligoma na hakuna kilichofanyika na Yanga akigoma ni hivyo hivyo
Mashabiki wa Nyuma mwiko kweli wenye akili ni wawili na wewe si miongoni mwa waliotajwa kuwa na akili😂😂
 
Swali kauliza jingine anajibu vingine, hao yeye na zungu wote ni makolo kelele nyingi za nini? Yanga wakiamua watacheza na wasipoamua hawatacheza, na hawatafanywa lolote maana hiyo ndio michezo ya Simba na Yanga, Kule Misri Al Ahly aligoma na hajakatwa hata point 1 ndivyo hapa Bongo. Simba aligoma na hakuna kilichofanyika na Yanga akigoma ni hivyo hivyo
Kwamba hujui kuwa zamalek walipewa points zao tatu na magoli matatu ofcourse yanga wakigomea derby hawatakatwa points wala hawatashushwa daraja, bali simba watapewa points zao tatu na magoli matatu hivyo automatically kuwa mabingwa kama wakishinda mechi zao zote zilizobaki, yanga walikuwa wanawategemea singida wawafunge simba au watoe nao draw kwenye mechi ya juzi ili kwenye derby wasilete timu, na kwamba hata simba wakipewa points tatu basi bado yanga wangekuwa mabingwa kama wangeshinda mechi zao zote zilizobaki, ila kitendo cha simba kuwafunga singida ni kinyume na matarajio yao ndio sababu ya milio yote ile ya jana kuhusu waamuzi kuwabeba simba kwenye ile mechi ya juzi na blah blah nyingine za kitoto
 
Back
Top Bottom