Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Roho mbaya katika kiwango cha kutukuka! Taarifa ya Ikulu inasema atapangiwa kituo cha UbaloziHuyo katimuliwa vibaya sana, siyo uwaziri tu.
Lazima ana madudu makubwa aliyoyafanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya katika kiwango cha kutukuka! Taarifa ya Ikulu inasema atapangiwa kituo cha UbaloziHuyo katimuliwa vibaya sana, siyo uwaziri tu.
Lazima ana madudu makubwa aliyoyafanya.
🤣🤣🤣Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu.
Nasubiri masaa 24 yakoNape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu.
Mropokaji katika ubora wakoNape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu.
Najaribu kukucheck mkuu naona kimyaKuna mtu anaandaliwa ajaze nafasi yake..
Yeye atateuliwa nafasi nyingine hivi karibuni.
Maandalizi ya kufumua baraza.