Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Jul 22, 2024 #181 FaizaFoxy said: Huyo katimuliwa vibaya sana, siyo uwaziri tu. Lazima ana madudu makubwa aliyoyafanya. Click to expand... Roho mbaya katika kiwango cha kutukuka! Taarifa ya Ikulu inasema atapangiwa kituo cha Ubalozi
FaizaFoxy said: Huyo katimuliwa vibaya sana, siyo uwaziri tu. Lazima ana madudu makubwa aliyoyafanya. Click to expand... Roho mbaya katika kiwango cha kutukuka! Taarifa ya Ikulu inasema atapangiwa kituo cha Ubalozi
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Jul 22, 2024 #182 Sexless said: Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu. Click to expand... 🤣🤣🤣
Sexless said: Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu. Click to expand... 🤣🤣🤣
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Jul 22, 2024 #183 Sexless said: Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu. Click to expand... Nasubiri masaa 24 yako
Sexless said: Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu. Click to expand... Nasubiri masaa 24 yako
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Jul 22, 2024 #184 Sexless said: Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu. Click to expand... Mropokaji katika ubora wako
Sexless said: Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu. Click to expand... Mropokaji katika ubora wako
M Msumb JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,452 Reaction score 5,372 Aug 9, 2024 #186 Dr Restart said: Kuna mtu anaandaliwa ajaze nafasi yake.. Yeye atateuliwa nafasi nyingine hivi karibuni. Maandalizi ya kufumua baraza. Click to expand... Najaribu kukucheck mkuu naona kimya
Dr Restart said: Kuna mtu anaandaliwa ajaze nafasi yake.. Yeye atateuliwa nafasi nyingine hivi karibuni. Maandalizi ya kufumua baraza. Click to expand... Najaribu kukucheck mkuu naona kimya