peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hii jinsia Kila wizara na idara za serikali walizopewa zimefeli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New prophet in town wala hukukoseaWalisema mwezi wa 2 sasa wamehamia kwenye mwezi wa 3. Ukifika mwezi wa 3 watahamia kwenye mwezi wa 6.
Yangu macho
Wanatufanya mazombi. Mabepari uchwara wanaotegemea kunawiri kwenye giza la kutokuepo umeme hawajali kero au hasara kiasi gani taifa linapata. Kila siku ya umeme kukosekana wao wanachuma hela na tabia yao kutengeneza giza la umeme. Walaaniwe😭😭
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa pili, jana tumefanikiwa kufanya majaribio kwa ukamilifu kwenye mtambo namba 9 na tumeutembeza kwenye uwezo wake wa mwisho wa megawati 235," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
"Tuliahidi mwezi huu tuna ratiba ya kuzindua mtambo huu na ratiba hii iko palepale, tunawashukuru sana Watanzania kwa kuendelea kutuvumilia, matumizi ya umeme yanategemeana tukizalisha mwezi huu mgao utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu tunazalisha megawati 235 na mwezi wa tatu tutazalisha megawati 235 hivyo zitakuwa megawati 470 uhakika ni kwamba kufikia mwezi wa tatu mgao wa umeme utaisha nchini," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
Pia soma
- Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?
Walisema mwisho mwezi wa kwanza 2024. Wanasiasa ni watu waongo sana. Mkimaliza mtuambie na mgao wa sukari unaisha lini. Halafu mje majimboni kuiba tena kura. Bata wahed!Walisema mwezi wa 2 sasa wamehamia kwenye mwezi wa 3. Ukifika mwezi wa 3 watahamia kwenye mwezi wa 6.
Yangu macho
USANII MTUPU!HII MIJITU HATA AIBU HAIONI!
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa pili, jana tumefanikiwa kufanya majaribio kwa ukamilifu kwenye mtambo namba 9 na tumeutembeza kwenye uwezo wake wa mwisho wa megawati 235," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
"Tuliahidi mwezi huu tuna ratiba ya kuzindua mtambo huu na ratiba hii iko palepale, tunawashukuru sana Watanzania kwa kuendelea kutuvumilia, matumizi ya umeme yanategemeana tukizalisha mwezi huu mgao utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu tunazalisha megawati 235 na mwezi wa tatu tutazalisha megawati 235 hivyo zitakuwa megawati 470 uhakika ni kwamba kufikia mwezi wa tatu mgao wa umeme utaisha nchini," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
Pia soma
- Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?
Wajinga tu na wahujumu hawa. Hata kupanga tarehe ya kitu hawawezi.

Huyo dada ako sio mkweli anazidi kueneza uongi, alipaswa ajiuzuru leo saa sita usiku.Kapinga ni dada yangu huyu tumvumilie
Naunga mkono hojaKijiwe ni kilekile, stori tu ndio zinazobadilika badilika...
Tuzidi kumuombea pale Nishati pagumu sanaHuyo dada ako sio mkweli anazidi kueneza uongi, alipaswa ajiuzuru leo saa sita usiku.
Kwetu umeme umekatika saa 12 asubuhi ya leo Feb 16 ambayo ndiyo mwisho wa mgao 😁
Tumuombeeje sasa wakati keshaamua kutufanya watumiaji wa umeme tu vichwa vya mwendawazimu ?Tuzidi kumuombea pale Nishati pagumu sana