Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

Hii jinsia Kila wizara na idara za serikali walizopewa zimefeli!
 
Wanatufanya mazombi. Mabepari uchwara wanaotegemea kunawiri kwenye giza la kutokuepo umeme hawajali kero au hasara kiasi gani taifa linapata. Kila siku ya umeme kukosekana wao wanachuma hela na tabia yao kutengeneza giza la umeme. Walaaniwe😭😭
 
Hawa waheshimiwa huwa wanatuona kama mazombi fulani hivi
 
USANII MTUPU!HII MIJITU HATA AIBU HAIONI!
 
Wajinga tu na wahujumu hawa. Hata kupanga tarehe ya kitu hawawezi.
 
Kuna shida kubwa naiona kwa Rais Samia kuliko kwa watendaji wake!
 
Kilichopo sasa sio mgawo wa umeme bali makatizo ya umeme, umeme unakatika ukirudi mnatumia saa moja,unakatika tena,huu mgawo gani? Harafu hiyo march ni ya mwaka gani?
 
Huu ni utapeli, serikali imekuwa na maneno ya kitapeli. Kama wao wameamua kuwa matapeli, raia watakuwaje?
 
Ila pesa za kununua ndege ya viongozi zipo
Shenzi sana
 
Speaker asimame upande wa wananchi na sio kuegemea upande wa serikali ,inatakiwa bunge liichachafie serikali ipazavyo ili kuleta accountability, kulikuwa hakuna haja ya kuwapa grace period wakati serikali yenyewe ilishatoa ahadi kwamba ifikapo mwezi wa pili na watatu mgao utaisha. Kuruhusu mazingira kama haya ni kunatengeneza complacency kwa wale waliopewa zamana yakuongoza wizara .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…