Naibu Waziri wa sanaa, Shonza umechemka kuwasimamisha kazi wasanii Giggy money na Suzan kinyume na ustarabu wa hekima

Acha watu wakae wapendavyo bhana, wengine tunapenda kuwaona uchi kama sanchi usipimee
 
Kama mnapenda kuangalia uchi si mkaoneshane huko kwenye vilabu vyenu vya usiku na kwenye a Casino[emoji15]
 
Kwa kumuweka yule Dada alie na kuwa na macho mekundu huku yeye akiongea bila hata uuruma kwa mwanamke mwenzake.. hiyo hapana aiseeeee

Yaani kaongea kama vile huyo mdada sijui sio binadamu.. kamsimamisha pembeni huku analia macho mekunduuuuu yeye anaongea kama hajali..

Na kuna wengi wanaume wana video zinawanawake balaaa... hawawasimamishii kazi.

Amechemka kweli kweli..

Pole kwa huyo Dada ..ila picha ya utupu ndio hizo amevaa nguo fupi.. maana bado sijaelewa utupu upi?

Watoto huko mitaani hawana mengi yaliyochini ya wizara yake yeye kaona haya ndio kiki au ndio wasanii tu serikali yetu inawaona hapa nchini

Mbona mengi hawayaendelezi kwa manufaa ya watoto wanafunzi na vizazi vijavyo..

Instagram yenyewe yaani kabisaaaaa
Huko youtube nako wakajioneeee
Huko Instagram mtu anaenda kuangalia picha akitaka.. na picha tupu haziruhusiwi kuwa puboic.. sasa angetuleleza hiyo picha ya utupu ni ipi je hakuwa na nguo yoyote hata sidiria mwilini yaani alikuwa alivyozaliwa?

Wale wanafundisha watu kunanihiii huko huko instagram mbona hajawaita kuwafungia kazi? Maana nao wanacheza kila mwili uwezavyo kucheza wakionyeshea..

Angetoa onyo maana ameacha wengi.. wanaume nao amewaacha mbona...
 
Nadhani unaweza kuwa mwanamke pia.
natamani ujumbe huu ukufikie..
zaidi ya uelekeo wa utupu wako una kitu ama sehemu gani nyingine inayoweza kuwa na staha au heshima kwenye mwili wako kama mwanamke?!!
weka siasa na chuki binafsi pembeni kisha pitia picha zote za huyo Giggy money na rafikize bila kumsahau Faizal Ally. Wanazotuma kwenye mitandao ya kijamii.
halafu jiulize je mwanao anajifunza nini? Utajisikiaje kumuonesha baba yako mzazi picha kama hizo?

Sanaa na usanii sio kukaa uchi.
 
Umeona nimemuongelea Giggy!!!

Na pia nani kasema nimeandika ya siasa.. embu kaa chini jipime kudandia dandia utulize kichwa chako..
 
Hongera sabbu uko macho mpaka mida hii.
ulipotoa hoja yako hapa inasomwa na wengi na bila shaka watakaochangia mawazo yako ni wengi..kwa mitazamo tofauti..
soma tena post yako ulichoandika hasa aya ya pili, kisha kama una uwezo tafakari kisha rudia tena.
utagundua uandishi wako una namna fulani ya hisia zaidi kuliko hoja.

"Sabbu ni mwanamke mwenzie so hakupaswa kuchukuliwa hatua"!?

Hujui uchi ni nini kwa tamaduni na mazingira yetu hapa Tanzania..[emoji23] [emoji18]
 
Embu pita huko na porojo zako
Sorudiagi kujisoma kwa sababu nakumbuka ninayoandika...

Sasa huo ucih uliuona ameuanika? Na ilikuwa lino na saa ngapi?

Umejaa wivu tu wewe.. hata kuandika unakazania upupwuuuu.. ye ni mwanamke tuna mengi tunafanya sio ya kinyama kama nyie wanaume.. changia yako nami nachangia yangu.. sipangiwi.
 
Wale wote ni makah wa mtandaoni wanawapata wateja wao kupitia mitandaoni....
Huyo sanchoka angeenda Kwa trump kcheza prn tu tujue moja Kwa nnyaa alyokuwa nayo watamchkua fasta...
Mbona picha zake na video zake Ziko sana zimezagaaa kwenye mitandao ya prn mbelee huko

Ova
 
Nadhani unaweza kuwa mwanamke pia.
natamani ujumbe huu ukufikie..
zaidi ya uelekeo wa utupu wako una kitu ama sehemu gani nyingine inayoweza kuwa na staha au heshima kwenye mwili wako kama mwanamke?!!
weka siasa na chuki binafsi pembeni kisha pitia picha zote za huyo Giggy money na rafikize bila kumsahau Faizal Ally. Wanazotuma kwenye mitandao ya kijamii.
halafu jiulize je mwanao anajifunza nini? Utajisikiaje kumuonesha baba yako mzazi picha kama hizo?

Sanaa na usanii sio kukaa uchi.
Kama Huyo cocochanel anaona kama hao Wakina giggy na sanchoka wameonewa,na kutuonesha misambwanda Yao huku wakiwa na bkini,kwake ye anaona sawa basi na yee atupie picha aanike maungo yke watu waonee

Ova
 
Kama unatoka daar sikulaumu maan nyie mmezowea kukaliwa uchi uchi
 
Mkuu naona unalalamika wamekupunguzia starehe yako kubwa ya kula kwa macho
 
Back
Top Bottom