Naibu Waziri wa Viwanda: Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini, siyo ujenzi wa Sanamu ya Hayati Dkt Magufuli

Naibu Waziri wa Viwanda: Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini, siyo ujenzi wa Sanamu ya Hayati Dkt Magufuli

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?"

"Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe

Pia soma > Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

My Take:
quote-technology-and-social-media-have-brought-power-back-to-the-people-mark-mckinnon-90-3-0335.jpg
 
Tuwe waungwana, taarifa iliyotoka ni kama huyo Naibu Waziri alivyofafanua. Nilishangaa kwenye mitandao watu kusema kuwa mamilioni yote yale ni kwa ajili ya sanamu tu
%kubwa ya watanzania wana uwezo mdogo wa kufikili na kuchanganua mambo ndo maana hua kuna upotoshaji mkubwa sana.Mfano mzuri hua naangalia watu naofanya nao kazi mmmmh ni majanga.Wanachoweza ni ubishi tu kama wa vilabu vya pombe usiokua na maana.
 
Wasijenge tena hayo mabanda, wakajenge soko la Kariakoo
... Kariokoo ihamishiwe vilipo viwanja vya sabasaba! Pana nafasi ya kutosha kujenga soko kubwa na la kisasa badala ya Kariakoo palipobanana. Pia masoko mengine ya aina hiyo yajengwe wilaya ya Ubungo, na maeneo mengine ya Dar-es-Salaam. Sioni la maana linalofanyika Sabasaba kwa sasa; zama zimebadilika tubadilike.
 
%kubwa ya watanzania wana uwezo mdogo wa kufikili na kuchanganua mambo ndo maana hua kuna upotoshaji mkubwa sana.Mfano mzuri hua naangalia watu naofanya nao kazi mmmmh ni majanga.Wanachoweza ni ubishi tu kama wa vilabu vya pombe usiokua na maana.
Kwa taarifa kama ile wa kuwalaumu na kuwanyooshea vidole sio watanzania wote ila ni hao wanahabari ndio wapotoshaji. Sio wote wana uwezo wa kufukunyua habari na kutenga mbivu na mbichi.

Waandishi wa habari wana nguvu kubwa sana sana katika jamii. Hata kama una uwezo wa kuchanganua mambo kuna vitu utalishwa tu coz sio vyote utakua na muda wa kuvitafiti labda na ww uwe wa kada hiyo.
 
Wakifanyiwa Interview, wateuliwa wengi Hawatatoboa kwa sababu wengi wao tunawajua kwani baada ya shule kuwagomea wakaresort kwenye UCCM na Kusifia hadi hapo walipo. Wengi wao Hakuna Kitu Kabisa.
 
Kwa taarifa kama ile wa kuwalaumu na kuwanyooshea vidole sio watanzania wote ila ni hao wanahabari ndio wapotoshaji. Sio wote wana uwezo wa kufukunyua habari na kutenga mbivu na mbichi.

Waandishi wa habari wana nguvu kubwa sana sana katika jamii. Hata kama una uwezo wa kuchanganua mambo kuna vitu utalishwa tu coz sio vyote utakua na muda wa kuvitafiti labda na ww uwe wa kada hiyo.
Hao hao waandishi wa habari uchwara ni miongoni mwa watanzania wengi ambao wanye reasoning ndogo sana
 
Bwana Kigahe nasikia Mufindi Kaskazini wanamito mingi ya maji lakini hawapati huduma hiyo kupitia bomba.

Eti wanauliza unasubiri mpango wa maji kutoka ziwa Victoria?

Wameanza kusema mda mwingi unatumika kwenye unaibu
Wakasikika eti "ISIKU NSISOGWE"
 
Samia huyu naibu waziri asimalize mwaka huu tafadhali..
Fukuza haraka
 
Tuwe waungwana, taarifa iliyotoka ni kama huyo Naibu Waziri alivyofafanua. Nilishangaa kwenye mitandao watu kusema kuwa mamilioni yote yale ni kwa ajili ya sanamu tu
Wana bavicha hawajawahi kuwa na akili
 
Tunaomba video clip ya kwanza kabisaa kuhusu hii sanamu
Maneno ya kuandikiwa ndo yametufikisha hapa
 
Back
Top Bottom