Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Tuwe waungwana, taarifa iliyotoka ni kama huyo Naibu Waziri alivyofafanua. Nilishangaa kwenye mitandao watu kusema kuwa mamilioni yote yale ni kwa ajili ya sanamu tuWanabadilisha gia angani
%kubwa ya watanzania wana uwezo mdogo wa kufikili na kuchanganua mambo ndo maana hua kuna upotoshaji mkubwa sana.Mfano mzuri hua naangalia watu naofanya nao kazi mmmmh ni majanga.Wanachoweza ni ubishi tu kama wa vilabu vya pombe usiokua na maana.Tuwe waungwana, taarifa iliyotoka ni kama huyo Naibu Waziri alivyofafanua. Nilishangaa kwenye mitandao watu kusema kuwa mamilioni yote yale ni kwa ajili ya sanamu tu
Ndiyo maana hawafanyiwi interview hawa wapuuziHuyo jamaa hata ku'spin' hajui, ni waziri kanjanja huyo!
Mtu kama huyo naye anateuliwa uwaziri. Nchi hii basi tu!
... Kariokoo ihamishiwe vilipo viwanja vya sabasaba! Pana nafasi ya kutosha kujenga soko kubwa na la kisasa badala ya Kariakoo palipobanana. Pia masoko mengine ya aina hiyo yajengwe wilaya ya Ubungo, na maeneo mengine ya Dar-es-Salaam. Sioni la maana linalofanyika Sabasaba kwa sasa; zama zimebadilika tubadilike.Wasijenge tena hayo mabanda, wakajenge soko la Kariakoo
Kwa taarifa kama ile wa kuwalaumu na kuwanyooshea vidole sio watanzania wote ila ni hao wanahabari ndio wapotoshaji. Sio wote wana uwezo wa kufukunyua habari na kutenga mbivu na mbichi.%kubwa ya watanzania wana uwezo mdogo wa kufikili na kuchanganua mambo ndo maana hua kuna upotoshaji mkubwa sana.Mfano mzuri hua naangalia watu naofanya nao kazi mmmmh ni majanga.Wanachoweza ni ubishi tu kama wa vilabu vya pombe usiokua na maana.
Hao hao waandishi wa habari uchwara ni miongoni mwa watanzania wengi ambao wanye reasoning ndogo sanaKwa taarifa kama ile wa kuwalaumu na kuwanyooshea vidole sio watanzania wote ila ni hao wanahabari ndio wapotoshaji. Sio wote wana uwezo wa kufukunyua habari na kutenga mbivu na mbichi.
Waandishi wa habari wana nguvu kubwa sana sana katika jamii. Hata kama una uwezo wa kuchanganua mambo kuna vitu utalishwa tu coz sio vyote utakua na muda wa kuvitafiti labda na ww uwe wa kada hiyo.
Wana bavicha hawajawahi kuwa na akiliTuwe waungwana, taarifa iliyotoka ni kama huyo Naibu Waziri alivyofafanua. Nilishangaa kwenye mitandao watu kusema kuwa mamilioni yote yale ni kwa ajili ya sanamu tu