KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,456
- 5,462
Hivi huyu ni Stella aliyekuwa Electrical Technician pale Pugu Kaolin au ni mwingine?Yaani "raia mnyonge" anayestruggle kununua kilo moja ya sukari kwa Tshs. 4000 harafu aweze kununua mbadala wake kwa Tshs 12,000 mpaka Tshs. 15,000!? Huyu Stella vipi? Hesabu za wapi hizi?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Chumvi haina hata zogo😂
😆😆😆
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutanisha wizara ya Viwanda na Biashara na wadau wa sukari nchini kuangalia uwezekano wa kushusha bei bidhaa hiyo kuelekea mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Mfungo huo unatarajiwa kuanza takriban siku tisa zijazo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stella Manyanya wakati akizungumzia kupanda kwa bei ya sukari kunakosaidiwa kusababishwa na upungufu wake sokoni. Aidha alisema kuwa kutokana na kupanda kwa bei ya sukari, amewataka wananchi kutumia asali kama mbadala.
“Wananchi wapunguze matumizi ya sukari, kwanza hata kiafya sio nzuri sana, kama mtu asali haimdhuru basi ni bora akatumia asali,” alisema Manyanya.
Asali kwa sasa inauzwa kati ya Sh 12,000 hadi 15,000. Akielezea sababu za zaidi alisema kutokana na mlipuko wa virusi vya corona, nchi nyingi zimesimamisha uzalishaji na pia mvua nyingi katika baadhi ya maeneo imesababisha uzalishaji kuwa mdogo.
“Mvua nyingi zinasababisha changamoto katika uzalishaji wa sukari, ile miwa ikiwa na maji mengi uzito wa sukari unapungua,” alieleza Naibu Waziri.
Hata hivyo, gazeti hili limebaini katika sehemu kubwa ya Jiji la Dar es Salaam na baadhi ya mikoa wafanyabiashara wanaficha sukari na kuuza kwa kificho kwa bei juu ambapo wananchi wanalazimika kutoboka mifuko yao na kununua bidhaa hiyo kati ya Sh 3,000 hadi 4,000 kwa tofauti ya kati ya Sh 800 hadi 1,800 ya bei elekezi.
Upandaji huo wa sukari umeelezwa na wafanyabiashara wa rejareja kuwa unatokana na wao kupandishiwa kwa sasa mfuko wa kilo 50 .
Mfanyabiashara wa rejareja, White Tarimo akizungumza na gazeti hili, alisema, “Kwa sasa hata sisi tunapandishiwa wiki iliyopita mfuko wa kilo 50, tuliuziwa kati ya shilingi 136,000 mpaka na 140,000 maduka ya jumla na sisi tukauza rejareja kati ya shilingi 3,000 hadi 3,600.
Chanzo: HabariLeo
dah......

Ndo huyu ila anajiita Engineer siku hiziHivi huyu ni Stella aliyekuwa Electrical Technician pale Pugu Kaolin au ni mwingine?
Akili za hawa ndugu za hovyo sanaANASEMA TUTUMIE SUKARI KIASI MAANA SIO NZURI KIAFYA ANASEMA HAYA BAADA YA SUKARI KUWA ADIMU
Nenda asee....nimeenda mie jioni hii ngoma imefika elfu 4 kiloMwanza sijui ina Tshs. ngapi? ngoja leo nikaulizie
Hana akili na mjinga vileHii ni kauli ya mtu aliyekula sana.akavimbiwa sasa anatoa gesi. Asali lita moja ni tsh 10,000-15,000.
Huyu msemaji ndo anashauri hilo kweli?anatofauti gani na yule mtoto wa mfalme wa ufaransa iliyesema kama waandamanaji wanaona bei ya mkate imepanda wanunue keki.