Lita1.''Asali kwa sasa inauzwa kati ya Sh 12,000 hadi 15,000.'' ni kwa Litre ngpi hii bei?
Barikiwa sana Mkuu.Hapo ndipo utaelewa kuwa si tuna matatizo tu.Bali tuna walakini sana katika utendaji na Kiakili pia.Litre moja 12000(Asali) mpaka 15000.Sukari kutoka 2000 mpaka 4000 inapigiwa kelele.