Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,606
- 6,672
Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa Naibu Waziri mara 4 katika Wizara tofauti.
Amefariki majira ya saa 4 kasorobo usiku huu.
Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa Naibu Waziri mara 4 katika Wizara tofauti.
Amefariki majira ya saa 4 kasorobo usiku huu.