Safi sana! CCM imefanya makubwa sana. Na kukaribisha ule mema ya nchi ndani ya CCM, Mama Samia mitano tena hadi 2030Habari wadau
Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.
Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia.
Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha umeme mwingi. Mpaka Kenya aliyetuacha mbali kwenye awamu zote za nyuma leo hii tumempita
Treni ya umeme nayo mpaka wa Nigeria na Africa nzima wanaishangaa.. CCM wapewe maua yao
Magufuli ameshafariki , ni vizuri mama Samia apewe maua yake kwa kujenga nchi vizuri
Kumuua Ben Saanane na Ally Kibao ndio wema huo?
Mauaji ya nini sasa ma utekaji?Habari wadau