Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Habari wadau

Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.

Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia.

Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha umeme mwingi. Mpaka Kenya aliyetuacha mbali kwenye awamu zote za nyuma leo hii tumempita

Treni ya umeme nayo mpaka wa Nigeria na Africa nzima wanaishangaa.. CCM wapewe maua yao

Magufuli ameshafariki , ni vizuri mama Samia apewe maua yake kwa kujenga nchi vizuri
 
Safi sana! CCM imefanya makubwa sana. Na kukaribisha ule mema ya nchi ndani ya CCM, Mama Samia mitano tena hadi 2030
 
Kumuua Ben Saanane na Ally Kibao ndio wema huo?

Wema ni kujenga nchi bila kutazama mabeberu wanapingaje. Sitaki kuamini kama wapinzani hawa wajanja wajanja kina Lissu wangeweza kumudu haya mapingamizi ya wazungu. Kamq Kuwadindia UN na bwawa likajengwa

Screenshot_20241222-212709.png
 
Habari wadau

Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.

Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia.

Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha umeme mwingi. Mpaka Kenya aliyetuacha mbali kwenye awamu zote za nyuma leo hii tumempita

Treni ya umeme nayo mpaka wa Nigeria na Africa nzima wanaishangaa.. CCM wapewe maua yao

Magufuli ameshafariki , ni vizuri mama Samia apewe maua yake kwa kujenga nchi vizuri
Mauaji ya nini sasa ma utekaji?
 
Back
Top Bottom