Naichukia sana CCM, naombeni msaada wa kisaikolojia

Wewe CCM ilikukosea nini?Fedha ya kuingia JF unayo ya kodi huna...
dunderhead
Ccm imenikosea vingi mno. Matatizo yote yaliyopo nchi hii yameletwa na CCM. Moja wapo ya sababu ya kuichukia CCM ni kutengeneza watu wajinga kama wewe. Ona hapa unaongea upumbavu wa kusema fedha ya kuingia jamii forums ninayo ila ya kodi sina, wapi nimeandika hivyo?
 
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Hama nchi.
 
Pole sana, na kwa mfumo wa nchi yetu bora unaweza sumu ufe. CCM itakuwa madarakani kwa muda mrefu sana.

Na kwa uhalisia hutakiwi kufuata si hasa. Itakuumiza sana. Siasa Imejaa wajinga kuliko binadamu uliowahi kukutana não. Na ukibahatika kuvijua na vyama vingine kwa undani, siwezi kushangaa kama utavua nguzo na kutembea bila.
 
Ccm imenikosea vingi mno. Matatizo yote yaliyopo nchi hii yameletwa na CCM. Moja wapo ya sababu ya kuichukia CCM ni kutengeneza watu wajinga kama wewe. Ona hapa unaongea upumbavu wa kusema fedha ya kuingia jamii forums ninayo ila ya kodi sina, wapi nimeandika hivyo?
Tatizo sio ccmtu ndugu amini nakwambia, vyama vyetu vyote vya siasa vina shida

Nikupe mfano
Wakati bunge linajadili kuhusu tozo za miamala ya simu wananchi walilalamika sana chakushangaza wanaharakati na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa walikua bize na petition ya kumpinga diamond ni ajabu sana
Ukichunguza utagundua vyama vyetu vya siasa vinashidwa kutatua matatizo yetu wananchi
 
Kuichukia CCM ni dalili za uchawi. Chukia baadhi ya wana CCM sio chama chetu.
Ila CCM ndio baba yako ina nguvu zote inalala Na mama yako Na uko hapo nyumbani huna pa kwenda?!
Nimeshafika zangu Runzewe naenda Burundi bongo imenishinda.
 
Watu kama nyie ndio mnaotia kinyaa hadi wanataka kujiua[emoji28][emoji28]
ukijiua au ukifa sababu ya siasa wewe hujitambui.

leo hii ukisikia lissu kahamia ccm si utajidunga msumari wa kichwa kwa hasira!!!!
 
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Ccm ni shida tu masikini sababu ya ccm
 
Dawa yake ni kuomba kujiunga hicho chama , ukiwa umejiunga nao unawamaliza ndani Kwa ndani
 
Jana nimemsikia kigogo2014 kwa mara ya kwanza kwa masikio yangu.

Kumbe ni jingajinga tu, jeupe kabsa kichwani..

Hata zile posts litakuwa linaandikiwa.tone ya sauti yake ime disclose kila kitu.

Hata wewe mwandiko wako unaonekana unaichukia ccm na serikal bila sabab za msingi ndio maana unahitaji msaada wa saikolojia
 
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Wewe una mimba. Ukiishajifungua kichefuchefu na kuichukia CCM kutaisha tu! Usisahau kuhudhuria Kliniki mara kwa mara!
 
Mimi hata ikitokea nipo kwenye usafili wa uma likana lijamaa limevaa miguo ya kijani likikaa seat moja na mimi nahama maana nahisi kichefuchefu
 
Chukulia
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Chukulia kuwa ni changa la wengi na usidhani la kwako pekeee
 
Back
Top Bottom