Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
- Thread starter
-
- #21
Ccm imenikosea vingi mno. Matatizo yote yaliyopo nchi hii yameletwa na CCM. Moja wapo ya sababu ya kuichukia CCM ni kutengeneza watu wajinga kama wewe. Ona hapa unaongea upumbavu wa kusema fedha ya kuingia jamii forums ninayo ila ya kodi sina, wapi nimeandika hivyo?Wewe CCM ilikukosea nini?Fedha ya kuingia JF unayo ya kodi huna...
dunderhead
Hama nchi.Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.
Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.
Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.
Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Ukimaliza kutapika,kufa kabisa,pumbavu.Sawa mkuu. Naomba msaada wa kisaikolojia. Hiyo nguo uliyovaa kwenye Avatar nimetapika.
Pole sana, na kwa mfumo wa nchi yetu bora unaweza sumu ufe. CCM itakuwa madarakani kwa muda mrefu sana.Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.
Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.
Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.
Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Tatizo sio ccmtu ndugu amini nakwambia, vyama vyetu vyote vya siasa vina shidaCcm imenikosea vingi mno. Matatizo yote yaliyopo nchi hii yameletwa na CCM. Moja wapo ya sababu ya kuichukia CCM ni kutengeneza watu wajinga kama wewe. Ona hapa unaongea upumbavu wa kusema fedha ya kuingia jamii forums ninayo ila ya kodi sina, wapi nimeandika hivyo?
Hivi sina tatizo? Naomba iwe hivyo aisee! Nilidhani ni tatizo na nahitaji tiba.Mleta mada endelea kuwachukua tu wala huna tatizo lolote.
ukijiua au ukifa sababu ya siasa wewe hujitambui.Watu kama nyie ndio mnaotia kinyaa hadi wanataka kujiua[emoji28][emoji28]
Ccm ni shida tu masikini sababu ya ccmMwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.
Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.
Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.
Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Kama jinsi Lowasa alivyorudi CCM.ukijiua au ukifa sababu ya siasa wewe hujitambui.
leo hii ukisikia lissu kahamia ccm si utajidunga msumari wa kichwa kwa hasira!!!!
tena mchana bila hata aibu.Kama jinsi Lowasa alivyorudi CCM.
Dawa yake ni kuomba kujiunga hicho chama , ukiwa umejiunga nao unawamaliza ndani Kwa ndaniMwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.
Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.
Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.
Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Hahahaa!Sawa mkuu. Naomba msaada wa kisaikolojia. Hiyo nguo uliyovaa kwenye Avatar nimetapika.
Wewe una mimba. Ukiishajifungua kichefuchefu na kuichukia CCM kutaisha tu! Usisahau kuhudhuria Kliniki mara kwa mara!Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.
Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.
Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.
Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Chukulia kuwa ni changa la wengi na usidhani la kwako pekeeeMwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.