Naichukia sana Simba. Imvenigharimu mara 3 hivi

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa.

Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa ban humu kama mara 3 sababu ya hii team. Mbwa kachoka kabisa...

Siku Simba ikifa nitafurahi sana. Yanga Bingwa. Hilo halizuiliki. Ni suala la muda tu.
 
Ila lile goli la kibichwaSwala (Elie Mpanzu) lilikuwa balaa. Yaani Baka koplo mzima wa "geshi" alikaLISHWa, akaja njugui kahara kakaa
 
Acha kuvuta skanka utaliwa !
 
Nyie ndio mtume alikatazwa kuwaombea duwaa mkifa kwa sababu ya unafiki wenu.

Msengerema wewe
 
Matrako yako
 
wewe chura
ni lile goli la mpanzu au kuna jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…