Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka nini?...
Katika uchaguzi wa kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, kama Chadema wanajitambua, watachagua kuishi, lakini kama bado hawajitambui, kama kawaida yao, watachagua kifo!.
Swali ni jee Chadema kuchagua kifo au kuishi?, tusubiri hiyo kesho tuone...
Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, japo ni mwanachama wa chama cha siasa, hoja zangu ni za kizalendo zaidi kwa nchi yangu na sio za chama changu, ndio maana mtu wa chama kingine, anakishauri chama kingine!. Lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao ni wanachama wa vyama vya siasa, ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.
Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.
Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".
Kwanini Mwambe na Sio Mbowe?.
Nanalizia kwa kusisitiza, Mhe. Mbowe hana tatizo lolote bali amefikia point of his optimum, mwisho wa uwezo wake, he can not do anything more than what he can or what he did due to over staying na kuwa over saturated to the point of saturated solution that can take no more that it can, ila pia naelewa mapenzi ya Watanzania kwa viongozi wao, hata Nyerere asingengatuka mwenyewe ile 1985 hakuna mtu angethubutu kumwambia mzee pumzika, hivyo inawezekana wana Chadema bado wana mapenzi makubwa sana na Mhe. Mbowe, kwenye mustakabali wa uhai, survival na sustainability ya chama, wasiangalie mapenzi, waangalie uwezo, ability na capabilities.
Politics is science, inafuata principles of political science, Mbowe alipokea Chadema kikiwa ni chama cha kiharakati, alipaswa aki transform kugeuka chama tawala in waiting. Serikali Kivuli ni government in waiting, ilipaswa kila Waziri akifanya jambo fulani, waziri kivuli ana counters kwa kueleza how wrong the government is wangekuwa Chadema wangefanya nini tofauti but serikali kivuli ya Chadema utaisikia tuu Bungeni but its like it doesn't exist nje ya Bunge.
Namfahamu vizuri Mwambe, huyu sio mwanaharakati ni strategist, baada ya Chadema kumpoteza Prof. Kitila Mkumbo, na ZZK, kiukweli kabisa Chadema is totally empty in terms of strategists, hivyo Mwambe ata i transform Chadema kutoka chama cha kiharakati kukigeuza chama tawala in waiting. Japo umaarufu wa Chadema ni ule uanaharakati wake, chama cha kiharakati kazi yake ni harakati tuu, hakiwezi kwenda Ikulu unless na sisi tufanyie majaribio ikulu yetu!.
You can just imagine kama Chadema hii tunayoiona sasa ndio ingepewa nchi ile 2015, hali ingekuwaje?!, si ingekuwa disastrous, thanks God angalizo hili, limesaidia Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,
Tusubiri Tuone!.
Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.
Paskali

HitimishoSiku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Swali ni Jee Sasa Wanajitambua?.
Kujitambua maana yake ni kujijua wewe ni nani, kwa nini upo, unataka nini, una malengo gani, utumie njia gani kufikia malengo ili upate kile unachotaka. Kwa vile lengo kuu la Chama cha siasa ni kushika dola, ili chama chochote cha siasa kinachojitambua, lengo lake ni kushika dola, mimi nime i observe Chadema toka kuanzishwa kwake, ilianza vizuri ikiwa inajitambua, lakini hapo katikati ikaja kupoteza dira,ikawa haina dira wala mwelekeo, na sasa hii Chadema ya sasa haijitambui kabisa kwasababu haina malengo yoyote ya kushika dola, haina sera wala mikakati yoyote, no any strategic objective, ipo ipo tuu huku baada ya uchaguzi mkuu wa 2020, Chadema ikiwa inaelekea shimoni kuzama kabisa jumla, kwa kuwa reduced to nothing, lakini mara kabla ya kifo, ameibuka mkombozi, the savior wa kuiokoa Chadema, kama sasa Chadema wamejitambua, kesho watamchangua Mwambe, lakini kama Chadema ni wale wale wasiojitambua, then kesho watawachagua watu wale wale na kuendelea na chama kile kile na mambo yale yale down the drain.
Kwanini Nasema Chadema Hawajitambui?.
Mimi nikiwa msomaji mzuri wa trends za kisiasa, toka baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2010, kuna vitu nilivieleza kuhusu CCM na Chadema ahead of 2015 election. CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
Katika bandiko hili nilieleza jinsi CCM ilivyochokwa na jinsi Chadema haijajipanga, nikaeleza CCM imechokwa vipi, na kuishauri Chadema ijipange vipi.
Wenzao CCM wakazifanyia kazi hoja za bandiko hili lakini Chadema...
Katika safari ya kuelekea 2015 tukajitahidi humu kuielekeza Chadema nini cha kufanya ili iweze kuingia ikulu ile 2015, lakini kwa vile Chadema hawajitambui, they did nothing!.
Angalieni ushauri huu CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 na huu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...! na huu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... na huu Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni! na huu Kuelekea 2015: Ni Mbio Za Magari Kati ya Mkweche na Mashine Mpya! na huu CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! Baada ya Chadema Kutoonyesha Seriousness Yoyote 2015, Tukaanza Kuwaletea Trends za 2020h Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition? na Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza? na CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!. na Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? na CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe! na Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu? na Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? na CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, Is Good, Amefanya Mengi, Makubwa na Mazuri kwa Chadema, Lakini... Kabla sijamzungumzia Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, kuna members wa Chadema, sio tuu wanamkubali sana Mhe. Mbowe, bali wengine ni kama wanamuabudu fulani, hivyo ukisema lolote against Mbowe, kwao wanaona ni kama kumkufuru mungu fulani. Mhe. Mbowe amefanya makubwa ila amefikia kiwango cha optimum yake, kwa waliosoma sayansi, kama ni solution, Mhe. Mbowe ni Saturated Solution, it can not take anymore than it could. Kwa hizi political trends za sasa na the political dynamism ya Magufuli ambaye ni game changer, Chadema needs a fresh blood, something new of which Mwambe can do. Pasco Mayalla na Freeman Mbowe ni Dam Dam. Tangu miaka ya 80 kwenye kipindi changu cha ujana maji ya moto, Disco la Mbowe ndio lilikuwa disco kali in town. Wakati Club Billicanas Inafunguliwa mimi nikiwa mtangazaji wa RTD ndio tulitangaza live kila siku za Ijumaa na Jumamosi na siku zote niliingia bure disco la Bills!. Wakati mimi nafunga ndoa, vikao vyangu vya harusi nilivifanyia Bilicanas na nilipewa ukumbi bure na Freeman Mbowe mwenye in person na mpaka kesho sikumbuki kuwahikusikia kama kuna kikao kingine tena chochote cha harusi ya mtu kufanyikia pale, hivyo Mimi na Mbowe ni dam dam, tumetoka mbali, hivyo maoni na ushauri wangu huu kwa Chadema sio personal ni maslahi ya Chadema. Tanzania Hatuna Upinzani Wowote wa Maana, na Baada ya Magufuli Kuingia ndio Kafunga Kazi Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwara? Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au? Chadema Wakijitambua na Kumchagua Mwambe, Jee Ndio Wataingia Ikulu 2020? No!, kwa 2020, now, the time its already too little too much, Magufuli just turned to be too good to defeat, ila Chadema needs to get some fresh blood kujiandaa kwa 2030. Kama Chadema bado hawajitambui na kumchagua tena Mbowe, kwanza uchaguzi mkuu wa 2020, Chadema haitapata kitu!, kisha Mhe. Mbowe atakwenda hadi 2024, uchaguzi mkuu wa 2025 ndio Magufuli anaondoka na kuacha track record kubwa ya ajabu kuwahi kutokea Tanzania, mgombea wa CCM baada ya Magufuli, hata hitaji hata kufanya kampeni yoyote, legacy ya Magufuli ya maendeleo ya kuonekanika, yatamfanyia kampeni, hivyo chance kwa Chadema kuanza kufukuta ni uchaguzi mkuu wa 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! na https://habarileo.co.tz/habari/2019-07-315d41425abb1f5.aspx[/ In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa 2020, Do We Still Have A Choice?