Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama.
Naanza kwa kusema kuwa ni huzuzni kubwa sana kwa CV kama hii kukaa haina mchongo wa kueleweka katika ulimwengu huu wa sayansi na teknologia. Mimi ni kijana jinsia ME, mwenye umri unaokaribia 3 floor, ninaishi Moshi Kilimanjaro.
Ni Expert kwenye maeneo ya
Katika baadhi ya sehemu ambazo nimewahi kujitolea au kufanya kazi kama muajiriwa, nilikuta kuna changamoto ya kukosa kurasa za mitandano ya kijamii na utumiaji sahihi vya vifaa vilivyopo kama camera, microphone na computer katika kuendesha kurasa hizo kwa lengo ya kuitangaza zaidi taasisi na hata kuwafikia kwa karibu wateja au wanaopatiwa huduma kupitia taasisi husika, hivyo ujio wangu ulileta matokeo chanya hasa kuhakikisha tunaenda sambamba na mabadiliko ya dunia ya sasa katika sayansi na teknolojia.
Nimeshaandika academic proposal na report sio chini ya 200 kwa kipindi cha miaka mitatu, proposal za kuomba fund sio chini ya 10, kazi za kutengeneza posters na mabango sio chini ya 150 (kupitia Adobe Photoshop CC), kazi za kutengeneza video (video production kupitia Adobe Premier Pro CC sio chini ya 10), yote haya nimekuwa nikiyafanya mweyewe kwa laptop yangu bila kusimamiwa.
Pia nimefanikiwa kufundisha baadhi ya vijana wenzangu namna ya kutumia Adobe premiere Pro CC na Adobe Photoshop CC (wale waliokuwa interested tu), pia nimefanikiwa kufundisha wengine namna ya kuandika research zenye ubora na zinazoweza kuleta mabadiliko hasi kwenye jamii. Kutokana na G.P.A yangu niliyotokanayo chuo kikuu kuwa nzuri, nilienda mbali zaidi na kukaa na baaadhi ya makamu wakuu wa baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini niweze kupewa nafasi ya kufundisha wanafunzi namna ya kuadika research zenye kuleta matokeo chanya kwenye jamii, lakini ilishindikana kwa sababu sehemu zote wanataka niwe nimepata masters (mimi nakijua hiki kigezo ila lengo langu lilikuwa nianze kama tutorial assistant halafu badae nijiendeleze masters).
Taasisi zote za kiserikali au za watu binafsi, mashirika mbalimbali hasa NGOs na NPOs na wengine tunaweza tukakaa chini tukajadili tunavyoweza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taasisi na Taifa kwa ujumla.
Hivyo nimekuja hapa jukwaani naamini hapa ni sehemu sahihi ya kukutana na potential employers ambao wanaweza kuona CV yangu na kwa namna moja au nyingine tukaweza kufanya kazi pamoja, mimi ni mchapakazi, ninafanya kazi bila kusimamiwa na kwa muda maalumu (niliowahi fanya nao kazi hapa jukwaani watakuwa ni mashahidi)
Kwa kiongozi na mtu yeyote atakaye vutiwa na CV yangu au kutaka iliyokamilika (yenye full address na referees) na akawa tayari tufanye kazi pamoja au hata kuwasiliana na kubadilishana uzoefu wa kazi namba yangu ni 0619654153 na PM ipo wazi. Nimeorodhesha wasifu wangu hapo chini ila majina ya taasisi zote ambazo nimepita nimeziondoa majina. Natanguliza shukrani kubwa sana kwa kila atakeyapata nafasi ya kusoma kutoka juu mpaka chini na niwatakie wote mapambano mema na kazi njema.
Computer Literacy (Microsoft Office package – Microsoft Word, Publisher, PowerPoint
Adobe Photoshop CC and Adobe premiere Pro CC
Professional data analysis packages - (Excel and SPSS).
Keen user of the Internet and Email packages.
Naanza kwa kusema kuwa ni huzuzni kubwa sana kwa CV kama hii kukaa haina mchongo wa kueleweka katika ulimwengu huu wa sayansi na teknologia. Mimi ni kijana jinsia ME, mwenye umri unaokaribia 3 floor, ninaishi Moshi Kilimanjaro.
Ni Expert kwenye maeneo ya
- Research and academic writings consultation (proposals, reports, Data collection and analysis etc.)
- Digital media (Social media management)
- Graphics designing (Posters, fliers)
- Video production
Katika baadhi ya sehemu ambazo nimewahi kujitolea au kufanya kazi kama muajiriwa, nilikuta kuna changamoto ya kukosa kurasa za mitandano ya kijamii na utumiaji sahihi vya vifaa vilivyopo kama camera, microphone na computer katika kuendesha kurasa hizo kwa lengo ya kuitangaza zaidi taasisi na hata kuwafikia kwa karibu wateja au wanaopatiwa huduma kupitia taasisi husika, hivyo ujio wangu ulileta matokeo chanya hasa kuhakikisha tunaenda sambamba na mabadiliko ya dunia ya sasa katika sayansi na teknolojia.
Nimeshaandika academic proposal na report sio chini ya 200 kwa kipindi cha miaka mitatu, proposal za kuomba fund sio chini ya 10, kazi za kutengeneza posters na mabango sio chini ya 150 (kupitia Adobe Photoshop CC), kazi za kutengeneza video (video production kupitia Adobe Premier Pro CC sio chini ya 10), yote haya nimekuwa nikiyafanya mweyewe kwa laptop yangu bila kusimamiwa.
Pia nimefanikiwa kufundisha baadhi ya vijana wenzangu namna ya kutumia Adobe premiere Pro CC na Adobe Photoshop CC (wale waliokuwa interested tu), pia nimefanikiwa kufundisha wengine namna ya kuandika research zenye ubora na zinazoweza kuleta mabadiliko hasi kwenye jamii. Kutokana na G.P.A yangu niliyotokanayo chuo kikuu kuwa nzuri, nilienda mbali zaidi na kukaa na baaadhi ya makamu wakuu wa baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini niweze kupewa nafasi ya kufundisha wanafunzi namna ya kuadika research zenye kuleta matokeo chanya kwenye jamii, lakini ilishindikana kwa sababu sehemu zote wanataka niwe nimepata masters (mimi nakijua hiki kigezo ila lengo langu lilikuwa nianze kama tutorial assistant halafu badae nijiendeleze masters).
Taasisi zote za kiserikali au za watu binafsi, mashirika mbalimbali hasa NGOs na NPOs na wengine tunaweza tukakaa chini tukajadili tunavyoweza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taasisi na Taifa kwa ujumla.
Hivyo nimekuja hapa jukwaani naamini hapa ni sehemu sahihi ya kukutana na potential employers ambao wanaweza kuona CV yangu na kwa namna moja au nyingine tukaweza kufanya kazi pamoja, mimi ni mchapakazi, ninafanya kazi bila kusimamiwa na kwa muda maalumu (niliowahi fanya nao kazi hapa jukwaani watakuwa ni mashahidi)
Kwa kiongozi na mtu yeyote atakaye vutiwa na CV yangu au kutaka iliyokamilika (yenye full address na referees) na akawa tayari tufanye kazi pamoja au hata kuwasiliana na kubadilishana uzoefu wa kazi namba yangu ni 0619654153 na PM ipo wazi. Nimeorodhesha wasifu wangu hapo chini ila majina ya taasisi zote ambazo nimepita nimeziondoa majina. Natanguliza shukrani kubwa sana kwa kila atakeyapata nafasi ya kusoma kutoka juu mpaka chini na niwatakie wote mapambano mema na kazi njema.
| EDUCATION BACKGROUND. |
| Institution | Year | Subject |
| …….. University of Tanzania. | 2017 – 2020 | Bachelor of Arts in Mass Communication |
| …… secondary school, Iringa-Tanzania | 2015 – 2017 | Advanced Certificate Secondary Education Examination(ACSEE) |
| …….. Secondary School, Kilimanjaro-Tanzania | 2011- 2014 | Certificate of Secondary Education Examination(CSEE) |
| WORKING EXPERIENCE |
| 2020 – Current: (Freelancer) | Working as an Academic Writer and Researcher (Freelancer) Data analysis through SPSS and Excel Data collection (Qualitative and Quantitative data) Report writing Research Consultation Handling research proposals and reports (Quantitative and qualitative research Providing guidance on quantitative and qualitative research Advising clients on methodology and data collection tools Coaching clients on the use of tools such as Mendeley Desktop, QuillBot, Turntin and SPSS Generating of data collection instruments such as questionnaires, interviews and focus group discussions
Managing Social Media content |
| 2022 To 2023: …… Radio | Under supervision of Chief Editor I had the following tasks
I had the following tasks
|
| 2020 To 2021: Information, Public Relation & Communication Officer (Volunteering) | At …… District Council Under supervision of Information officer, I do the following tasks
|
| 2018: Information and Communication Officer (Field Training ) | At ……. Municipal Council Under supervision of Information officer, I had the following tasks
|
| LANGUAGE |
| Languages | Speaking | Reading | Writing |
| English | Good | Very Good | Very Good |
| Swahili | Very Good | Very Good | Very good |
| COMPUTER KNOWLEDGE |
Adobe Photoshop CC and Adobe premiere Pro CC
Professional data analysis packages - (Excel and SPSS).
Keen user of the Internet and Email packages.
| Personal attributes |
- Work under minimum supervision
- Capability to take initiatives
- Ability to work on dynamic environment,
- Accept criticisms and challenges
- Self-accountability and responsibility to tasks
- Good participant in community work and activities